A picture speak more than words

Hawa ni kama ndugu wa damdam. Wamelala kambi moja, wamepigana pamoja, na wameona mengi pamoja.
 
Nimeshindwa kuvumilia, ilipaswa kuwa "a picture SPEAKS more than words!!!!!
 
Safi sana afugaji wa ukweli sio sawa na JK anasema unakuta Ng'ombe amekonda na mfugaji amekonda pia, utadhani mifugo na wafugaji hawana thamani yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…