Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,310
JK anasalimia kaangalia wapi? Labda hampendi Mbowe, labda hataki maridhiano, labda anamdharau....lakini wamekubaliana hatimaye JK akaenda kusaini Muswada
Despite the fruitless of this meeting, nothing is wrong with this picture, H.E the President is serving a glass of juice to MP. Mbowe, while carefully waiting for another glass to serve the next person. Don't contradict the public with their leaders for your personal interests.
Had it been that their are shaking hands for greetings, it could indicate that the President is not interested with the addressee.
Acheni hizo hata kama wamekosea sio namna hiyo nani kasema wamewawekea sumu?
Hebu fikiria kama ni wewe umekosa bila shaka imani ya watu kwako itapungua na je utajisikiaje pale kila unalolifanya liwe linaonekana ni kosa kisa uliboronga sehemu.