A picture is worth 1,000 words

Mkwara nn mbona Nkapa kaweka mikono nyuma na Warioba kama anataka kutoka nduki?
 
Mkapa alikuwa na nywele zote kichwani aise hakuna hata upara
Ila Warioba kumbe kimbaumbau toka enzi hizo
 


...haaa! kumbe nkapa alikuwa karibu sana na nzee tangia enzi hizo! hata nguo zinafanana! ndiyo maana mwl. alikuwa na imani naye'
inaonyesha Warioba alikuwa anaogopa kukaa karibu na mwl.
 
“Unaleta upumbavu kwenye kazi zangu wewe? Ntakutia bakora ukamuoneshe mkeo”
 
jamani huyu pembeni ya mkapa ni nani
 
hapo ilikuwa ni amri na kutii, Hakuna kubisha, Simama kwa adabu..... La sivyo utakiona cha mtema kuni !!!!

mwalimu Ahsante umetumia POWWER yako.
 
Mwenye suti nyeusi mimi naona anafanana na Abdulrahman Babu.. sina hakika kama ndie mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…