Msikilize huyu mbunge naye huyu!!! Ati "A Partner state shall elect!."......Bunge litachagua!!...Chadema mlichagua huko...hapa mlileta tu-approve!!....Mimi nauliza??...CCM iliowaleta katika ule uchaguzi bungeni haikuwachagua miongoni mwa wengi walioutaka nao hawakuwaruhusu wote waje kugombea bali wale tu iliowachagua miongoni mwao??....hapa CHADEMA kuchhagua wachache miongoni mwetu imekuwa nongwa??...Kwani CCM iliwapa CHADEMA nafasi ya kushiriki ule uchaguzi wenu kule wa awali kabla hamjawaleta bungeni ili nasi tuone kuwa hamjawaleta tuwa-approve wa kwenu ili hali nyie hamtaki kkufanya hivyo kwa wetu???......