A page from my Diary of 2009

A page from my Diary of 2009

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,196
Reaction score
34,502
Hahahaaa. Katika utundu niliokuwa nao ni kutengeza concortions. Mojawapo ni cocktail ya juisi ya ukwaju na Konyagi.
Basi siku moja nimejikalia tu home sina jipya joto tu. Nikaingia jikoni fasta nikatengeza bites za fried chicken wings, nikatengeza juice ya ukwaju, na barafu nikaweka kwenye bucket pamoja na scoop ya ice cubes na Konyagi 500ml. Lighter na Forever Faithful zangu rolls kadhaa. Nikapack bites zangu fresh mimi huyo juu ya muembe flani home.
Basi, tartibuuuuuuu my Sunday afternoon ikaanza kueleweka. Burudani ya kutosha. Subwoofer inanipa soul yaani kama maisha ni remote, unaweka pause kidogo. These are the moments that are supposed to last forever.
Bites ndio mwake manake Konyagi kwa kuacha tumbo dry we acha tu.mara 500 ml ikakata ikabidi nishuke nikafate ili 'ni refuel' 😀😀. Nimeshuka fasta nikarudi juu.
Sijui kilinituma nini nijisogeze kwenye paa la nyumba. Nilikuwa nimeshaanza kupendeza lakini wala sikufikiria mara mbili vigae vile ningevipandaje. Nikapanda freshi ila si mpaka mwisho. Nika cease nikaendelea kuponda raha. Nikawasha kitu yangu kazi ni puff tu. Rahaaaaaaaa. Nikaona breeze hii nikitaka kuipatia nijilaze kabisa, Matokeo yake mimi na bhange yangu mdomoni, lighter, madishi ya bites, Konyagi niloifata puuuuuuu chini juu ya magunia ya manure na fertilizer yalokuwa yameegeshwa kwa ajili ya kuweka kwenye garden.
Usiulize kama niliumia. Umri huu nisiumie mchezo? Bonge la nundu kichwani but nothing serious. And smelling like dung. All in all it was abeautiful afternoon. Home Alone.
 
Gaaadem, you woman you? Respect Konyagi and keep it wholly!
 
Lool, your deemed to know me like you Karucee..
 
Gaaadem, you woman you? Respect Konyagi and keep it wholly!

oh yeah. Konyagi with its woody taste is sweet poison. Awesome! I have a history with Konyagi we acha tu.
 
Naona umekuja na dozi ingine leo! Dah u were a bada$$ aisee watu tumefanya vituko ile we vya kwako noma! Nazipendaga hizi series zako za Diary ya 09, nadhani ndo ulikua unafunga pazia la ujana hivyo! Umenipa afternoon nyingine nzuuuri! Mi nalamba kaKonyak kengine hapa from Serbia
 
hako ka Serbia katakuwa nomaaaaa. Aiseee. Una kamiksi na nini?
Nlikuwa nakaribia kufunga chapter ila sikuifunga mpaka 2010. Hahahahaaaa.
 
Dada unatishaje.. I wish tungezaliwa familia moja maana drama zangu za ujana ni balaa..

Navyojijua hiyo coc tail yako ya konyagi ningeshakuibia kitambo ungeikuta ipo geto uvunguni nainywa kwa mrija mrefuuuuuuuu...

Mzee angeshatupiga risas kitambooooooooo...

Maana nilishawekwa mtu kati na mshua akaja kwenye kikao na bunduki akasema anaahidi mbele ya familia nikirudia nilichofanya ananipiga gobore..

Hebu tupia na diary yako ya O level maana najua tenage ndo ina drama nyingi zaidi
 
iyo diary sijui nitaipata vipi, naweza nikaitengenezea muvi ujue!

hahahaaa. Hii diary bwana huwa forgotten. Kitatokea kitu kidogo tu ambacho kitanikumbusha kitu nilifanyaga. Najikuta tu nacheka.
 
hahahahah we mwanamke wewe unabalaa....nimecheka mpaka mume wangu kashangaa
 
Dada unatishaje.. I wish tungezaliwa familia moja maana drama zangu za ujana ni balaa..

Navyojijua hiyo coc tail yako ya konyagi ningeshakuibia kitambo ungeikuta ipo geto uvunguni nainywa kwa mrija mrefuuuuuuuu...

Mzee angeshatupiga risas kitambooooooooo...

Maana nilishawekwa mtu kati na mshua akaja kwenye kikao na bunduki akasema anaahidi mbele ya familia nikirudia nilichofanya ananipiga gobore..

Hebu tupia na diary yako ya O level maana najua tenage ndo ina drama nyingi zaidi

tungeshadedishwa na mshua siku nyingi mkuu. Ya teenage haina chochote huwezi kuamini.
 
hako ka Serbia katakuwa nomaaaaa. Aiseee. Una kamiksi na nini?
Nlikuwa nakaribia kufunga chapter ila sikuifunga mpaka 2010. Hahahahaaaa.

Sprite na ice tu then shaken kidogo nabakia kushaangaa pangaboi linavyozunguka tu humu ndani!!!! Yani ni noma indeed aisee nilipewa zawadi sasa nimekua nakalamba lamba tartibuuu kasiishe
 
Sprite na ice tu then shaken kidogo nabakia kushaangaa pangaboi linavyozunguka tu humu ndani!!!! Yani ni noma indeed aisee nilipewa zawadi sasa nimekua nakalamba lamba tartibuuu kasiishe

hahahaaaaaa. You are funny sana gobore.
 
hahahaaa. Hii diary bwana huwa forgotten. Kitatokea kitu kidogo tu ambacho kitanikumbusha kitu nilifanyaga. Najikuta tu nacheka.

huo mwaka 2009 bila shaka ulikua burudani sana kwako.. dont you?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom