semreen Member Joined Aug 11, 2012 Posts 13 Reaction score 1 Aug 11, 2012 #1 ey jf members...m new 2,op 2tshrikiana on thinkin gr8,ayt guys?
Roulette JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 5,568 Reaction score 5,388 Aug 12, 2012 #2 Karibu sana. Please rekebisha namna yako ya kuandika, I had to use a decoder to understand what you mean...
Karibu sana. Please rekebisha namna yako ya kuandika, I had to use a decoder to understand what you mean...
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Aug 12, 2012 #3 semreen said: ey jf members...m new 2,op 2tshrikiana on thinkin gr8,ayt guys? Click to expand... Karibu sana, huyo alikufungulia mlango anaitwa Roulette, ndiye kiongozi wa jukwaa hili ukileta ujinga hachelewi kukulima BAN.......hahahahaaah!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
semreen said: ey jf members...m new 2,op 2tshrikiana on thinkin gr8,ayt guys? Click to expand... Karibu sana, huyo alikufungulia mlango anaitwa Roulette, ndiye kiongozi wa jukwaa hili ukileta ujinga hachelewi kukulima BAN.......hahahahaaah!!
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,407 Reaction score 3,032 Aug 12, 2012 #4 semreen said: ey jf members...m new 2,op 2tshrikiana on thinkin gr8,ayt guys? Click to expand... Hii siyo Forum ya watoto, jirekebishe. Karibu sana JF.
semreen said: ey jf members...m new 2,op 2tshrikiana on thinkin gr8,ayt guys? Click to expand... Hii siyo Forum ya watoto, jirekebishe. Karibu sana JF.
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 57,009 Reaction score 46,467 Aug 12, 2012 #5 Usilete mambo ya facebook andika vizuri.
Roulette JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 5,568 Reaction score 5,388 Aug 12, 2012 #6 Katavi said: Karibu sana, huyo alikufungulia mlango anaitwa Roulette, ndiye kiongozi wa jukwaa hili ukileta ujinga hachelewi kukulima BAN.......hahahahaaah!! Click to expand... Mkuu mi sijaanza kulimana BAN, bado najifunza kazi. Mzima wewe?
Katavi said: Karibu sana, huyo alikufungulia mlango anaitwa Roulette, ndiye kiongozi wa jukwaa hili ukileta ujinga hachelewi kukulima BAN.......hahahahaaah!! Click to expand... Mkuu mi sijaanza kulimana BAN, bado najifunza kazi. Mzima wewe?
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Aug 13, 2012 #7 Roulette said: Mkuu mi sijaanza kulimana BAN, bado najifunza kazi. Mzima wewe? Click to expand... ha ha ha haaah!! Mimi mzima, nilikuwa namtisha tu mgeni awe makini...!
Roulette said: Mkuu mi sijaanza kulimana BAN, bado najifunza kazi. Mzima wewe? Click to expand... ha ha ha haaah!! Mimi mzima, nilikuwa namtisha tu mgeni awe makini...!
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,912 Reaction score 13,894 Aug 13, 2012 #8 Karibu sana JF.
BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Aug 13, 2012 #9 karibu sana Jf uwe huru...
semreen Member Joined Aug 11, 2012 Posts 13 Reaction score 1 Aug 13, 2012 Thread starter #10 Ritz said: Usilete mambo ya facebook andika vizuri. Click to expand... MH:shetani:
Nyunyu JF-Expert Member Joined Mar 9, 2009 Posts 4,354 Reaction score 1,014 Aug 17, 2012 #11 Karibu sana wameshakutahadharisha, huo uandikaji haufai huku...
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,775 Reaction score 76,954 Sep 2, 2012 #12 Pita ndani.............:violin::A S-rose: