A: Mpanzu vs B: Pacome

A: Mpanzu vs B: Pacome

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,634
Reaction score
57,009
Piga kura yako hapa tujue kati ya Mpanzu na pacome nani anajua mpira kuliko mwenzake.

A:Mpanzu
B: Pacome


NB: USHABIKI TUWEKE PEMBENI TUANGALIE UWEZO
 
Uwezi pambanisha Ferrari na Bajaji katika lami.
Ili Mpanzu afananishwe na Pacome aje Yanga tuone atapata namba au atacheza Full back
 
Hii ni ngumu kumesa ...
left winger
mpanzu ni bora zaidi..
namba 10
sijui sababu sijamuona mpanzu akicheza 10,
hapa pacome ni bora zaidi
Right wing
Inategemea akiwa inverted basi pacome ni bora ikiwa winger kabisa mpanzu ni bora.
As centre midfielder
Pacome bora mpanzu sijamuona akicheza na aina yake ya mpira hawezi kuwa namba 8.

Kwa type ya mpira wao.
Mpanzu ni winger na 10 anaweza cheza.
Pacome ni versatile zaidi anacheza wimger zote,10 mpaka 8 za aina zote box to box midfielder na nyinginezo.
Football iq naona
Pacome ni bora zaidi.
Matumizi ya miguu yote mpanzu ni bora zaidi.

Ikiwa hakuna budi nitamchagua Pacome, na moja kati ya wachezaji nawahusudu sana, huwa naenjoy kumtizama, nikimtizama kama najiona mimi vile kabla magoti hayajaharibika.

Viongozi wa simba walileta usenge pale kutaka kuwatapeli mawakala kiasi wakawakosa pacome na wenzie ila saa hizi una pacome 10 kisha una mpanzu 11 *****, ni hatari.
 
Back
Top Bottom