A mathematical wedding invitation

joseeY

Senior Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
108
Reaction score
17
Mr & Mrs.Algebra welcomes u for wedding of their son

Differentiation with Integration
(Do, Mr & Mrs. Calculus)

Place: Matrix hall 5, Parallel Line St, Square root Tower,

Near Polynomial Hospital,

With Best Compliments from

Mr & Mrs. Vector

Mr & Mrs. Theorem

Bus Route: tan60, cos180, sec45, cot30, sin90.
 


Imekaa safi hii.
 
Umenikumbusha mbali sanaaaa.Mambo ya pure math hayo [SUB]x[SUP]2[/SUP][/SUB]dx/dy
 
Family of calculus ipo! Dah Math jaman
 
Ugonjwa wa taifa huo ningealikwa kwenye hii weding kwamwe nisingehudhuria
 
Sasa hapa dogo umeua...hujui humu wengi wetu ni HGL, HGK, KLF, HKL, law, social science, arts social work na JOURNALISM???? Asante lakini...
 

The family of Dr. Logic will be there too!
 
Mi sihudhurii labda nim2tupie bw Pie na Mr Adjacent, sjui Mr Trigonometric km anahabr za hiyo ki2 angefahamu angekuja na Mr Circle
 
Sijui first separable differential equation kama angekaa mbali,lazima aingie na square root ya geometrical progression
 
Sasa hapa dogo umeua...hujui humu wengi wetu ni HGL, HGK, KLF, HKL, law, social science, arts social work na JOURNALISM???? Asante lakini...

hahahahaha,, geophysics kwa upeo wangu nilizania umesoma PCM maana kuna topic ya physics a.lvl inaitwa geophysics,, sasa kumbe na wewe ni walewale waliokua kwenye ugonjwa wa taifa enzi izo?? Hahahaha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…