Ni vip Academia today?
Unalalamika sana, ni kweli unahaki hiyo, jana nilisoma uzi m1 humu unaelezea mfumo dume na mfumo jike, unasisitiza kusaidiana katika ndoa.
Nije kwako sasa, hata wewe unaweza kumsaidia hu m/me/mmeo, kama hunauwezo, jukumu linabaki kwake, kama anashindwa, si busara kumpiga chini, unajua sisi w/me tunatofautiana uwezo wa kutafuta hela, kama uyo wako anavyoshindwa na kutegemea kuajiriwa, hivyo basi inakubidi umsaidie mawazo, nini afanye ili mutoke ktk hali hiyo, na laiti utamshamshauri njia m'badala ya kujikwamua regardless elimu yake, na yeye akishindwa kufanya hivyo kwa sababu eti yeye ni msomi hawezi ku-do so or hawez ku-suffer. Si busara pia kumuacha ila unapaswa kulizungumzia hili kwa wazazi/walezi wake, ikishindikana kwa wazazi wako, then wazazi wako watatoa mtazamo wao, then una-decide whether muendelee or muishie hapo.
Refers, kama hawez ku-suffer mwenyewe, zingatia mbeleni anaweza kufukuzwa/kustaafu na apo ndio munaisoma na kupata jibu whether chua ni mchele au ni mpunga.
Kila la heri frnd.