A man needs woman to be perfect

A man needs woman to be perfect

Vipimo vya kisayansi alivyo pimwa nguli wa hesabu na fizikia baada ya kufariki dunia ambaye katika maisha yake hakuwahi kuwa karibu na mwanamke zaidi ya mtoto wa dadaake vilionyesha hakuwahi kukutana na mwanamke kimwili.
Swali ni je SIR ISAAC NEWTON WAS'NT perfect man, because he never knew a woman?.

Whether the answer is yes or no my homeboy always used to say that woman needs man and that is why kwenye neno WOMAN kuna neno MAN lakini kwenye neno MAN halipatikani neno WOMAN
Hahahaa hahahaa hahahaa hahahaa

.made in mby city.
 
Every thing in the world need one to be complete.

The real man needs a woman to be a man. If you donot have a woman kila siku uta sumbuka.

Mwanamke atakufariji na kukupa nguvu ya kusonga mbele.
tumboo take care your my everything.

Jibu hapa manake nin
 
tumboo shosti una nyota ya chips au? kaka kakolea na mapenzi yako jamani loooh, em naomba na mimi hiyo nyota yako niitambalie basi, maake nikiitembelea ntakuwa napendwa kama wewe lols. Hongereni kwa kupendana
 
Last edited by a moderator:
Annael jina la kike, tumboo ndo kama katuni..

Na ni couples.., Wonders!!
 
Last edited by a moderator:
I love one woman. Unaweza kumtaja?
 
tumboo shosti una nyota ya chips au? kaka kakolea na mapenzi yako jamani loooh, em naomba na mimi hiyo nyota yako niitambalie basi, maake nikiitembelea ntakuwa napendwa kama wewe lols. Hongereni kwa kupendana

Hahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
Annael jina la kike, tumboo ndo kama katuni..

Na ni couples.., Wonders!!

Hee labda kwenu ndio annal lina tumika kwa wanawake mi navojua ni lakiume....nyan haon kundule we na bichwa lako kubwa ka boga la kiangaz ujion enhe
 
Last edited by a moderator:
tell me two things you should have to go to heaven

1 Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, akili zako zote nguvu zako zote na mali zako zote.
2 Mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako.

Ubarikiwe
 
Hee labda kwenu ndio annal lina tumika kwa wanawake mi navojua ni lakiume....nyan haon kundule we na bichwa lako kubwa ka boga la kiangaz ujion enhe

ha ha ha ha ha ha ha ha.........
 
Back
Top Bottom