A man is capable of traveling 8 kilometres just to sex with a female friend

Daah ulijuajee,.yaani niko na dikshenari yangu lakini wapii...eeh hii lugha wengine mpaka tulewe tena iwe jioni jioni
nipo hospital nmecheka mpaka wagonjwa wameshtuka...

Nitatizo kubwa hii lugha ata mkuu anajifanya hataki kufanya Ziara za nje ya nchi kwa visingizio vingi lakini tatizo ni hili hili
 
Mi mtu katoka Us kapitiliza Mwanza akaona hapa hakuna kuiacha tukaondoka wote wacha mchezo achana na K na mapenzi
kufunga safari nakumfuata mtu haiwezi kuwa kwaajili ya mapenzi tu ..yaweza kuwa nikwajili ya ngono"" mtoa mada kaeleza vyema kabisa...na huo ndio uhalisia wa maisha Yetu wanaume jinsi ulivyo
 
Back
Top Bottom