Jana nilikuwa kwenye semina
Bagamoyo kuhusu mambo ya mahusiano. Watoa semina waliongea mambo mengi
sana ikiwamo mambo ya kujamiana.
Walisema mwanaume huwa ni Sex machine. Muda wote tu hisia zake ziko
karibu tofauti na mwanamke
Walisema watu wanapokua kwenye umri wa kubalehe mwanamke na mwanaume
hisia zao huwa sawa katika hali ya kawaida. Lakini mazingira, jamii na
tamaduni zinaleta utofauti kati ya mwanaume na mwanamke.
Katika swala la kujamiana mwanamke huangalia vitu vingi sana kabla ya
tendo lenyewe.
Lakini mwanaume yupo kihisia zaidi.
Mwanamke huchukua mda mrefu sana kupata hisia.
Basi sasa walisema mwanamke anatakiwa kuandaliwa kwa muda mrefu ili
hisia zake ziwe juu.
Katika miaka ya kubalehe asilimia kubwa sana ya wanaume wamepiga puli
hii ni sababu kuwa aibu inakuwa iko juu sana kuongea na mwanamke.
Kwahiyo mwanaume anatajwa kuwa ni Sex machine hachoki labda tu kwaajili
ya magonjwa. Lakini kwa hali halisi hata kibabu chenye miaka 100
kinaweza kikamzalisha msichana wa miaka 18.
Ni hayo tu.
inaweza kuwa ni sabb ya kutotulizana na mwanamke mmoja.
Yah ni kweli...Mwanaume anaweza oa hata akiwa mzee na akazaa vile vile ila wanawake ndio issue..
Na kibabu kikiwa kinakula vizuri mboga mboga na matunda na mazoezi Mechi yake inakuwa nzito hasa usijeshangaa binti unamng'ang'ania... hahahahahahaha baaas nisiendelee ni hayo tuuu
Naona unataka kuhalalisha kuwa na Kibabu wewe
Jana nilikuwa kwenye semina Bagamoyo kuhusu mambo ya mahusiano. Watoa semina waliongea mambo mengi sana ikiwamo mambo ya kujamiana.
Walisema mwanaume huwa ni Sex machine. Muda wote tu hisia zake ziko karibu tofauti na mwanamke
Walisema watu wanapokua kwenye umri wa kubalehe mwanamke na mwanaume hisia zao huwa sawa katika hali ya kawaida. Lakini mazingira, jamii na tamaduni zinaleta utofauti kati ya mwanaume na mwanamke.
Katika swala la kujamiana mwanamke huangalia vitu vingi sana kabla ya tendo lenyewe.
Lakini mwanaume yupo kihisia zaidi.
Mwanamke huchukua mda mrefu sana kupata hisia.
Basi sasa walisema mwanamke anatakiwa kuandaliwa kwa muda mrefu ili hisia zake ziwe juu.
Katika miaka ya kubalehe asilimia kubwa sana ya wanaume wamepiga puli hii ni sababu kuwa aibu inakuwa iko juu sana kuongea na mwanamke.
Kwahiyo mwanaume anatajwa kuwa ni Sex machine hachoki labda tu kwaajili ya magonjwa. Lakini kwa hali halisi hata kibabu chenye miaka 100 kinaweza kikamzalisha msichana wa miaka 18.
Ni hayo tu.
Hahaha tukianza kuzeeka tunatumia Viagra na lika huwa hatushindwi kirahisi.Yah ni kweli...Mwanaume anaweza oa hata akiwa mzee na akazaa vile vile ila wanawake ndio issue..
Na kibabu kikiwa kinakula vizuri mboga mboga na matunda na mazoezi Mechi yake inakuwa nzito hasa usijeshangaa binti unamng'ang'ania... hahahahahahaha baaas nisiendelee ni hayo tuuu
Hivyo vidumu ni jinsia ipi?Wanaume zamani wa siku hizi hamna kitu,mara anaumwa ooh nguvu zimepungua,na ndio maana wake zao wanakuwa na vidumu kwa ajili ya kukidhi haja zao. Halafu mtaani wanajisifia mimi nina mke na wtoto hahaaaa
And women are babies making machines
Kumbe hujakua bado? vidumu ni wanaume wa pembeni wanaomsaidia mwanaume mwenye mke kumridhisha mke wakeHivyo vidumu ni jinsia ipi?
promiseme hapo kwenye red umenikuna sanammmm!! sikuizi walivyo na vitambi hata kuiona hawaioni lakini wanavyo jifanya hodari wa Michepuko mpaka unashangaa ivi huyu kwanini anajiaibisha.... na hapo akipewa bao moja analala mpaka anapitiliza mda wakurudi nyumbani....
ha ha ha.. aisifuye mvua....imemnyea..lol lolYah ni kweli...Mwanaume anaweza oa hata akiwa mzee na akazaa vile vile ila wanawake ndio issue..
Na kibabu kikiwa kinakula vizuri mboga mboga na matunda na mazoezi Mechi yake inakuwa nzito hasa usijeshangaa binti unamng'ang'ania... hahahahahahaha baaas nisiendelee ni hayo tuuu