Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,723
Mkuu hao walikuwa Orchestra Safari Sound (OSS ) wana Ndekule chini ya Maalim Gurumo akiwa na Hassan Rehani Bitchuka.Usimchezee chatu, ohhh chatu ehhh.
Gongo usimtupie, utaukosa ushindi.
Natoa ilani kwa yeyote anayemchezea chatu.......
DDC Mlimani Park Orchestra enzi zao. Cosmas Chidumule alionya, lakini huyu mzungu akajidai hasikikizagi Sikinde Ngoma ya Ukae
Mkuu hao walikuwa Orchestra Safari Sound (OSS ) wana Ndekule chini ya Maalim Gurumo akiwa na Hassan Rehani Bitchuka.
Vv
Usimchezee chatu, ohhh chatu ehhh.
Gongo usimtupie, utaukosa ushindi.
Natoa ilani kwa yeyote anayemchezea chatu.......
DDC Mlimani Park Orchestra enzi zao. Cosmas Chidumule alionya, lakini huyu mzungu akajidai hasikikizagi Sikinde Ngoma ya Ukae
Mwaka 1986/87 kama nakumbuka vizuri. Wahenga mpo?Mkuu hao walikuwa Orchestra Safari Sound (OSS ) wana Ndekule chini ya Maalim Gurumo akiwa na Hassan Rehani Bitchuka.
Vv
Wahenga tupo wachache humu, Bujibuji amejifanya muhenga kumbe bado ni wa juzi tu.Mwaka 1986/87 kama nakumbuka vizuri. Wahenga mpo?
Wakati huo DDC Mlimani wakishindana na OSS. Mlimani wakitoa wimbo watu waliutafsiri kuwa ni ujumbe kwenda OSS. Na OSS nao wakitoa wimbo hivyo hivyo. "Chatu" ilisemekana kuwa waliimbiwa Mlimani.Wahenga tupo wachache humu, Bujibuji amejifanya muhenga kumbe bado ni wa juzi tu.
Vv
Hayo mambo ange waachia ngosha.Do alipwe anachostahiki na bwana, unafugaje nyoka tena chatu, lazma alikua anajitabiria kifo,
Inaonekana una elimu nzuri hivi viumbe,nipo interested kujua zaidi.Huyu siyo wa kwanza kuuawa na pet python.
Chatu kuna kimo mtu akifikia hawezi kukuconsider wewe kama chakula (pengine ndiyo maana hakujaribu kummeza) lakini kwanini jamaa hakuhangaika kumtoa ni swali jingine hili.
Anyway probably jamaa alihisi akitulia bila kujitikisa chatu hatoconsider kua sasa hivi tunashindana hivyo angemwachia.
Probably chatu alireact the best way possible in that ordeal.
R I P
Hua nasoma articles tu, kila ninachokijua kuhusu nyoka/ chatu/ anaconda kipo mtandaoni.Inaonekana una elimu nzuri hivi viumbe,nipo interested kujua zaidi.
Hahahahahahahahhhhhhh RIP in peacemniombee nikiona post za kingereza kichwa kinaniuma but anyway RIP in peace snake owner