A LIST OF NORTH KOREA'S ALLIES

A LIST OF NORTH KOREA'S ALLIES

Tanzania na UGanda... is big lie. hapa bongo ulizia hata ubalozi wa Nk kama upo?

China si mtu wa kumwamin always ni mfanya biashara.. yeye anaangalia faida tu.

ukiangalia nchi zinazo msaport Nk ... hazina ubav. Bado si nchi za kutetemesha mataifa makubwa.
sijui kwa sasa, ila ubalozi wa North Korea ulikuwepo Tanzania. sijaja bongo siku nyingi lakini nakumbuka ubalozi wao ulikuwa hapo ukivuka mataa ya Morocco kama unaenda Msasani/Driving Cinema-upande wa kushoto. Though nasikia walishahama hapo. nimejaribu kucheki address yao ya sasa, na hiki ndo nilichokipata...

Update
  • ADDRESS ------------- North Korean Embassy in Dar-es-Salaam, Tanzania

    Plot 309, Garden Road
    Mikocheni
    P.O. Box 2690
    Dar-es-Salaam
    Tanzania
  • TELEPHONE (+255) 22 277 1923
  • FAX (+255) 22 277 3529
  • EMAIL darembkp@yahoo.com
 
Kweli kabisa kaka, Watanzania na Wakorea Kaskazini tuna urafiki wa muda mrefu sana,
Korea kusini walikuwa almost hawapo Tz, ndio wako Busy miaka hii ya sasa kutafuta support ya TZ, naona sasa ndio wamefadhili ujenzi wa Chuo cha Muhimbili Mloganzila na pia wanataka kufadhili daraja la Surrender

Tunashukuru kwa msaada wa hivi sasa kutoka Korea Kusini lakini Watanzania tujisahau kwamba Korea Kasikasini na Kusini wana ushindani mkubwa wa kisiasa, kila moja inataka kui-piku nyingine, sisi tuwa treat equally lakini tusisahau mema ya Korea ya Kasikazini iliyvo saidia Taifa letu miaka ya nyuma, nikiona baadhi ya members wanaibeza beza Korea ya Kasikazini nawashangaa sana - mnawezaje kubeza Taifa lenye Satellite anga za juu, ICBMs, Submarines, Zana za kivita, magari yao na matrekta, Measuring Instruments nk, likija saula ya outer space exploration na masuala mengine ya military science Korea Kasikazini hiko mbali sana - hawajitangazi.
 
Sio kila jambo la mkulu in baya kuna mazuri yake jamani
 
Ukitaka kujua zaidi mahusiano ya Tz na N/korea bhasi ingia google andika maneno haya 'Tanzania won't deny N.korea is providing millitary assistance' au click www.nknews.org/2013 [HASHTAG]#nalendwa[/HASHTAG], [HASHTAG]#sijuti[/HASHTAG], [HASHTAG]#lifecoach[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom