A letter to my future lover

And your real id is....og!?

But Why!??
 
As azssss
 
I'm disqualified but honestly wish to be one of your friends. Or those on your list are enough to hold?
 
Ndugu zangu Asprin na Karucee nipeni tafsiri ya hapa.

Anasemaje huyu mlimbwende....leo nitasingizia mawani yangu.
 
Ungejielezea na vile ulivyo. Hivyo vigezo vyote ninavyo, but sipendi mwanamke anayeingia mpaka mitandaoni kutafuta mabwana. Hio ni dalili mojawapo ya ukahaba.
Huwezi ukampata mwanaume anaejitambua kwa njia hii.
Vile vile, mwanamke mwenye akili timamu hawezi akaandika uzi kama huu.
 
Asante kwa diagnosis na utabiri wako.
Sijui ulikuwa una lengo la kunikomoa kuwa nimemkosa mwanaume kama wewe?
Amin, Amin nakwambia sijawahi na sitakaa nikadate, wala kulala na mwanaume mwenye IQ kama yako. Kwaheri.
 
Sio kosa lako dear, unafanya kile nafsi yako inapenda, but sidhan kama elimu uliyo nayo inakusaidia
 
Sio kosa lako dear, unafanya kile nafsi yako inapenda, but sidhan kama elimu uliyo nayo inakusaidia
You sound bitter and pathetic, you need some love and probably good sex. So give up hating on me, unajisumbua tu.
 
usikute huyu ni proffesor anafanya research
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…