A Kiss to.....!

Mwl.RCT

Platinum Member
Joined
Apr 5, 2009
Posts
15,796
Reaction score
22,768

Je umepata wazo gani baada ya kuiona hii picha? Tushirikishe. Karibu​
 
Huyo Simba atakuwa ni yule wa Msimbazi.. Simba wa Serengeti umletee mapenzi hivyo akuache!!?
 
Huyo Simba atakuwa ni yule wa Msimbazi.. Simba wa Serengeti umletee mapenzi hivyo akuache!!?
  • Unamaanisha yuleeeeee! ambaye huwa anapakatwa na kandambili za jagwani. teh...
 
an Old lion is friendly !! Simba mzee au kashiba huyo !! Lakini hapo wote ni maSimba.....
 
All in all he is just a BIG PUSSY thats all!
 
how in the world do you call this?animal unlikely best friends,follow your instict to NATGEO WILD
 
Huyo simba alikuwa kachomwa sindano ya ganzi nini hajazinduka sawasawa...
 
Jamani that's serious wala siyo editing, niliona kipindi cha huyu jamaa anaitwa Kevin Richardson 'The Lion Whisperer' ambaye ni self-taught animal behaviourist from South Africa. The guys owns his own private zoo where he keeps lions and hyenas. For more info ingia hapa you won't believe: Kevin Richardson - Dangerous Companions Kevin Richardson - Dangerous Companions - YouTube
 
Aisee i know that program too inaoneshwaga Animal Planet..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…