A humble request to CCM

Literally ni kwamba chama cha siasa Tanzania ni kimoja. Na ndicho kinachopaswa kutoa Rais wa kuongoza nchi. H

Kibaya zaidi kuna kikundi cha viongozi wastaafu wa serikali na vyombo vya dola kinaamua nani awe rais kisha huyo rais tunaambiwa ni kupitia chama fulani, huku wananchi wakipoteza muda wao kwenda kupanga mstari kwenye box la kura eti wanamchagua rais! Bila machafuko tutaendelea kubambikiziwa viongozi ambao hawatokani na box la kura.
 
Hivi vikundi vipo nchi zote duniani!
 
Kaka!!! hii ni account yako au imekuwa hacked?
 
Nakuomba uwatafsirie vinginevyo ujumbe wako hawatauelewa zaidi ya neno CCM.
 
Anza wewe kumlazimisha. Maridhiano ni muhumu, dunia imesikia. la kutokea likitokea hata wewe utasema neno la kulaumu. Jitokeze wewe uliye jasiri uwe wa kwanza.
 
unaeza jua rangi ya kinyonga pascal mayalla
unahisi magufuri ni mkarimu ama mpole ama anaweza kutekeleza utu kwa kujali haki za wananchi wake...

yani anachowaza ndugu yetu huyu ni kutawala kibabe kulazimishe kwa gharama yoyote ata kwa kuligharimu taifa damu na fedha ilimradi wabaki ikulu na kuwa na wabunge wengi.
next season magu atataka wawe 95% bungeni
 
Rubbish cc Retired
 
So mkuu unakubali kama Mgufuli hafuati katiba katika kutawala?
 
Hakuna gharama zozote, katiba imeweka kila kitu wazi kuanzia katiba yenyewe, sheria, taratibu na kanuni. Sio favours, sio hisani, sio huruma ni haki.
P
Uko sawa Mkuu,lakini je wenye dhamana wako tayari kwa dhati kabisa kuifuata Katiba ya Nchi..?

Maana kumekuwepo na uvunjaji Mkubwa wa Katiba na sheria tulizojiwekea.
Mfano mzuri ni jinsi watu wanavyotekwa na kupotezwa na jamii iko kimya siyo Bunge wala serikali ni kama hawalioni hili suala.

Uhuru wa mtu kuishi kwa usalama na kufanya shughuli zake kihalali lipo Kikatiba.
 
😳 Huyu ni brother Pascal au macho yangu yamekengezeka ! Nimezoea kusoma mafumbo yake tu, leo duuu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…