Crystal clear
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 809
- 338
yap! kuoa mke mmoja ni tamaduni za ulaya, ukisoma vitabu mfano Things Fall Apart utaona haya mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja yalikuwepo Africa na ilikuwa kawaida ila sasa tumeukumbatia ustaarabu wa wazungu ndio maana tunaona ni kitu kigeni
Kwa hiyo mkuu huu mfumo wa kimissionary wa kuoa mke mmoja ndio huenda unatusumbua, maana inaonekana sio asili ya mwafrika kabisa? Si unajua kuiga kitu ambacho hujakulia nacho inavyokuwa shida, au unasemaje?