So basically we are supposed to believe this pineal gland thing as the absolute and final truth? That you are going to explain everything using a pineal gland??!! That these prophets magically appeared to know how to activate the pineal gland but no one else? That those places where you claim have no prophets either people don't have a pineal gland or no one whatsoever has ever been able to activate theirs.
Now that you know how to activate your pineal gland, I bet you are a new prophet of pineal gland. I mean you are accusing the prophets of the same thing you end up doing and that is you KNOW the absolute TRUTH!!!
Mkuu soma utangulizi wa mada tu, nimeliweka wazi hilo.Hebu kuwa mkweli umeangalia kila dini au umeangalia uislamu na ukristo?
Halafu manabii unaowazungumzia hawajatoka mashariki ya mbali (far east) kwa mfano, Muhammad na Yesu wametoka mashariki ya kati. Halafu mkuu wewe umefikia vipi hitimisho kuwa manabii wote wametoka mashariki ya mbali? Unajuaje hakuna manabii Afrika na Amerika?
Mashaxizo kutokuwepo kwa kitabu ndio ushahidi wako hakuwahi kuwa na mitume sehemu nyingine duniani? Labda nikuulize swali rahisi tu, Wewe unajua jina la babu yako wa kizazi cha 20 nyuma? Kama hujui au halijaandikwa mahali popote inamaanisha kuwa huyu babu yako hakuwepo?
Kwa sisi wakristo kama nilivyokueleza hapo mwanzo, imani yetu imejikita kwenye kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo, dini zilikuwepo hata kabla ya ujio wake! Imani ya kumwamini Yesu Kristo kua ni mpatanishi kati ya wanadamu na Mungu ndio chimbuko la Ukristo.
Hivi vigezo wewe umevitoa wapi? Au unataka kujiumbia Mungu wako?
Kijana,
God is not theoretically explained..., Is something unique, special, Amazing no one can be able to lift up eyes and look at HIM, most powerful, Brave, God of gods, Creator of Universe and its contents including YOU very Little one.
Kijana zishushe akili zako, act like mtoto mdogo asiyejua chchote, kuwa na nia ya kumjua MUNGU MWENYEZI I believe that you could know him better. Once you will get to know him everything in your mind will change.
Just think about wabashiri, watafsiri ndoto, wenye maono, waganga, wachawi, wanga, wanamazingaombwe achilia mbali wachungaji...., unataka kuniambia hakuna something special, unseen, unique that some people depend to?
Ikiwa watu wanaamini kazi za shetani na kweli zipo na tunaziona basi kazi za MWENYEZI MUNGU zipo ni za kweli na tunaziona pia.
Its matter of your choice buddy to select either to believe or not, But I would like to advice you to believe on HIM.
Hayo mazingaombe na vikorombezo ulivyojumlisha hapo naamini vipo but hiyo sio sababu kwamba Mungu yupo unless unipe connection.
Then unaniambia niamini tu siku moja nitajua. Ok naomba mwongozo nimuamini Mungu yupi?
Hayo mazingaombe na vikorombezo ulivyojumlisha hapo naamini vipo but hiyo sio sababu kwamba Mungu yupo unless unipe connection.
Then unaniambia niamini tu siku moja nitajua. Ok naomba mwongozo nimuamini Mungu yupi?
Hata nikijibu hilo itasaidia nini?
Does it sound unreasonable?
Mkuu jamaa amesema ukiristo sio dini kwa mtazamo wake.
Unaliongeleaje hilo?
Kwa sababu umejaza mawazo yanayopinga mamlaka ya Mungu, hata ukiletewa hapa majibu kwa maswali uliyouliza,itakuwa kazi bure.
Mimi ngoja nijibu moja ya maswali yako. Katika Biblia hasa kitabu cha Waefeso 4:5-7 anaposema 5 tena kuna Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja, 6Mungu mmoja ambaye ni Baba wa wote, aliye juu ya yote, katika yote na ndani ya yote. 7Lakini kila mmoja wetu amepewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa cha Kristo. Hapo red, ilitakiwa duniani mwote imani iwe moja, lakini shida ni kwamba shetani naye kupitia wakala wake aliyeanzisha imani ya uongo(imani ya kupinga Mungu), mtu huyo akiitwa Nimrod, amefanikiwa kudanganya ulimwengu kwa kiasi kikubwa.
Kijana,
Miongozo imeshatolewa ikiwemo Biblia takatifu, Msaafu na Hata tamaduni nyingine za Kuabudu ukiachana na hizo nilizozitaja mwanzoni.
Sasa mkuu elimu ya kimapokeo ni ipi na ya kimamboleo ni ipi?Kumbuka, Kwanza wewe uamue kutoka ndani ya moyo wako kutaka kumjua MWENYEZI MUNGU Muweza wa Yote,
Pili jishushe acha kujiamini kutokana na elimu duni ya kimapokeo uliyofundishwa darasani... Kubali wewe si kitu na ni kiumbe mdogo na dhaifu sana.
Tatu, wewe ndo mwamuzi wa mwisho kuchagua umwamini mungu yupi, either MUNGU MWENYEZI au mungu/miungu mingine.
It is very reasonable but in research people are also interested in methods so that they can understand better the findings esp. a conclusion and be in a good position to give a critique or support it.
Kwa mtazamo wangu mfumo au utaratibu wowote ule wenye lengo la kuwaleta watu karibu na mungu yeyote yule ni dini, huo ni mtazamo wangu binafsi.
Na hapo hapo mtazamo wangu tena kwamba hizi dini kwa upande mmoja zimechangia sana kuwapotosha watu kuhusu kumjua Mungu, ni kama vile kitu kimekaa katikati kuunganisha kati ya mtu na Mungu, sasa usahihi au ubaya wa dini utategemea sana na aliyeanzisha anauelewa gani kuhusu huyo Mungu anayemhubiri au kuwafundisha watu na kutafuta wafuasi wamwamini huyo Mungu. Ndio maana tuna matoleo mengi sana ya Mungu kutokana na mitazamo tofauti ya hao waanzilishi.
Ukristo ni dini iliyojengwa kwenye kuamini mafundisho ya Yesu Kristo.
Nimekusoma mkuu labla tumsubiri Nkwesa Makambo huenda atatoa ufafanuzi kwanini anaamini ukiristo sio dini.
Kwani hivyo unavyoviita vitabu vyetu kuna sehemu vimesema manabii wote wametokea mashariki ya kati? Hebu toa aya ya Qur'an inayosema mitume wote wametokea mashariki ya kati? Labda nikuulize swali wewe unatakaje labda kwa sababu shida nayoiona ni kwamba hukubaliani na maamuzi ya Mungu. Kwamba umeamua si sahihi kwa Mungu kumtuma mwarabu kwa dunia nzima au sio?Mkuu soma utangulizi wa mada tu, nimeliweka wazi hilo.
Yaa hapo nimekosea. ni middle east na sio far east kama inavyosomeka, kuna mdau aliliongelea hilo.
Mkuu kwanini hakukuwa na manabii sehemu nyengine isipokuwa middle east ni nyinyi wenye dini hizo mbili ndio wakujibu. tumejua manabii wametoka middle east kwa sababu vitabu vyenu vimeelezea hivyo.
Sasa ikiwa kuna nabii alikuepo na hakutoka hapo middle east ni wewe wa kuprove.
Kumbe umeanzisha mada ili kubishana!! Haya kila la heri.Kila mtu aandike mababu zake kwa kitabu wewe unahisi kutakua na vitabu vingapi na kwa faida gani?
Then mfumo wa uzazi unajulikana.
Sema wewe ikiwa Mungu alipeleka Manabii sehem nyengine. Haya madini yameletwa na wakoloni kuwafanya watu wawe watiifu ili dhumuni lao litimie. Narudia tena uislamu na ukiristo ni tamaduni za watu wa middle east zisizo na mahusiano yoyote na Mungu. Mungu hawezi kuwa muongo.
The question is, hizi sifa unadhani ni nani anastahili kuzitoa? mimi na wewe? By the way kwa kuwa uko interested zaidi kubishana kuliko kujifunza I am officially done!Hivyo unataka kusema Mungu hawezi kuwa na sifa zile? then ukumbuke niliweka wazi ule ni mtazamo wangu. ungetrace mjadala ungejua kwanini nimeweka zile sifa.
Labla nikuulize wewe. Ni zipi sifa za Mungu or dini ya kweli?