Ni kijana ninaesoma chuo kimoja hapa jijini Mbeya. Natafuta Msichana(18yrs-30yrs) wa ukweli ambae tutasukuma haya maisha ya chuo. Awe mwanafunzi au Mfanyakazi(Sio za ndani).
Mi ni mrefu.
Sio Mwembamba wala Mnene.
Black
Karibu PM kama tupo pamoja katika hili