A fools thought

violavwala

Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Elimu ya tanzania kwa sasa ni majanga..mengi yamesemwa na wengi lakini sijaona hatua yeyote iliyochukuliwa na serikali na hii inapelekea mjinga mimi kujiuliza jaman ni kweli kuwa kilio chetu hakisikiki ama tuko pangoni hivyo sauti haitoki?????
Nalia na elimu ya tanzania hasa kwa sie wa kutegemea shule za kayumba..sibishi wala sikatai kua serikali imejitahidi sana kujenga shule nyingi lakini tunasahau kuwa shule sio majengo na wanafunzi..
Matokeo mabaya wote tumeyaona lakini kama tulivyozoea kamati iliundwa na wakarejea usahihishaji..je tutafanya hivi mpaka lini...
Education is the key to success wote tunajua ila dah ni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…