A Dream has Come True

ze future

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2020
Posts
204
Reaction score
303
Habari zenu humu ndani, baada ya muda mrefu sana kuangaika na namna ya kuweza kujiunga na Jamii Forums hatimae leo nimeweza. Hii ilikuwa ni ndoto yangu ya siku nyingi sana na Mimi nije siku moja kumiliki akaunti katika mtandao huu maana huku kwetu ni heshima kubwa sana mtu kuwemo kwenye Jamii Forums. Haya ni mafanikio makubwa sana kwangu na kwa familia yangu, napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru uongozi mzima wa Jamii Forums kwa kunisaidia kutimiza ndoto yangu hii. Asante sana.
 
Kwenu ni wapi aisee ambako mnapata heshima kubwa hivyo kujiunga Jamii Forums!

Karibu sana mgeni na uwasalimie sana huko uliko. Uwaambie na wewe sasa umekua Great Thinker!!
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT.
 
Salamu zimefika mkuu
Kwenu ni wapi aisee ambako mnapata heshima kubwa hivyo kujiunga Jamii Forums!

Karibu sana mgeni na uwasalimie sana huko uliko. Uwaambie na wewe sasa umekua Great Thinker!!
Salamu zimefika mkuu, nimefurahi sana kuwa humu na magreat thinkers.
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Nimeipenda iyo avatar "u know nothing John snow" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ karib chuo kikubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…