A divorced or single dad to start a new family is needed

Hey Sindy .. condition/masharti ni mtu kuwa single na independent pekeyake? Vitu vingine kama dini au kabila sio factor kwako? Ukiviweka wazi hivyo vitu mapema itasaidia candidates kujichuja wenyewe
Dini christian. vingine si factor.
 
Independent divorced mom wondering if there could be a second chance in life, if you are 35 and above, independent single dad believing there could be second chance in life and you are interested,, karibu PM. Heri ya pasaka

How do I know that there will be no divorce again? Need assurance first...
 
Pole cindy, usijali Mwenyezi Mungu yu pamoja nawe. Wanawake wengi huwa tunajiuliza kama kuna second chance, wengi wamefanikiwa kupata wenza na wakaishi maisha ya amani.
 
Pole cindy, usijali Mwenyezi Mungu yu pamoja nawe. Wanawake wengi huwa tunajiuliza kama kuna second chance, wengi wamefanikiwa kupata wenza na wakaishi maisha ya amani.
Asante sana kwa kunipa moyo. itakuwa, God willing
 
Wewe mwenye akili za kikubwa unayeshinda kwenye mitandao ya kijamii (Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki) ndiyo unajitambua?!

Nikifikisha umri wako halafu nikawa ninashinda kwenye mitandao ya kijamii nitajipiga risasi ya utosini.
ahaa kumbe bado mtoto, ukikua utaacha huu ujinga unaoandika, utaanza kuandika comments zenye akili.
 
Pm

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…