A divorced or single dad needed

dah umri umenisaliti leo,kama ngoma ikiwa ngumu legeza sharti la umri anzia hata 30 nichangamkie shavu hilo.
Salaams mimi ni single mother nina 42yrs kwa atakaesoma akaelewa na akaweza kumatch please you are welcome to start a new family, age awe between 44 hadi 50.
 
Duu wee kiboko, 42yrs bado unataka bwana? unashindwa nini sasa kumalia muda uliobaki kuishi peke yako?

Loooh kuna watu wanajua kukatisha tamaa wenzao humu hadi wanakufuru. hivi 42 hajisikii kuishi na mume? Muda uliobaki.... nani anaijua kesho? hao waliokufa baada tu ya kuolewa wakiwa 18 walijua? Kipi bora... kuzini au kupata mume/mke na kumaliza maisha salama? Dinam Mungu akujalie haja ya moyo wako.
 
Last edited by a moderator:

Asante Happiness win kwa kumwelewesha nadhani kuna haja ya kutoa somo humu japo wasomi wapo wengi
 
how many kid do you have? where are you working?where are you stay? do you have a house or car?are you hiv free?if yaa inbox me.i posses a stable co.

Nimekubali kuwa wanao-posses stable co. ni wale ambao hawakupenda sana masomo ya darasani...!
 
sasa jamani sijaelewa wapi?kwani miaka 30 siwezi kuwa single dad?au siwezi kutaliki?dah mi hata nikikuoa leo ukitoka kwenye misingi waziwazi nakutaliki.
Bora umuelewesha hajasoma vizuri post may be kadivorce but kwa umri wake hapana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom