A divorced or single dad needed

A divorced or single dad needed

Dinam

Senior Member
Joined
Jan 19, 2011
Posts
116
Reaction score
28
Salaams mimi ni single mother nina 42yrs kwa atakaesoma akaelewa na akaweza kumatch please you are welcome to start a new family, age awe between 44 hadi 50.
 
how many kid do you have? where are you working?where are you stay? do you have a house or car?are you hiv free?if yaa inbox me.i posses a stable co.
 
Andika kwa Kiswahili. Ataelewa tu.
 
how many kid do you have? where are you working?where are you stay? do you have a house or car?are you hiv free?if yaa inbox me.i posses a stable co.

try again, and correct the errors
 
Mungu hamtupi mja wake, Dinam mie na miaka yangu 51 naamini tunawezana.je utanifikiria?
 
Last edited by a moderator:
how many kid do you have? where are you working?where are you stay? do you have a house or car?are you hiv free?if yaa inbox me.i posses a stable co.

muache masihara, angekuwa anatafuta serengeti boy angesema.
 
Salaams mimi ni single mother nina 42yrs kwa atakaesoma akaelewa na akaweza kumatch please you are welcome to start a new family, age awe between 44 hadi 50.

Loh, hapo kwenye miaka tu naona sijaqualify.....sijui nijiongezee mitano!
Usijali ddada utapata tu mwenza wa maana, kuwa tu makini, tena kuwa makini hasa usije kujiongezea machungu badala ya kutibu upweke!
 
Duu wee kiboko, 42yrs bado unataka bwana? unashindwa nini sasa kumalia muda uliobaki kuishi peke yako?
 
kwani kuna tatizo nikipata wa kumaliza nae? na mbona naona 42 ni mdogo kuna walio na 50 na bado wanataka sembuse mimi sioni kama kuna tatizo na hivyo sijamlenga mtu ni fulani so kama wewe hukidhi hilo achia wenzio
 
Duu wee kiboko, 42yrs bado unataka bwana? unashindwa nini sasa kumalia muda uliobaki kuishi peke yako?

YES! unajua kadri umri unavyokwenda ndiyo hasa unavohitaji mwenza/rafiki wa kweli. Maisha ya ndoa ni zaidi ya ngono, mume/mke ni zaidi ya kukutana kimwili, life tends to be happier at older ages when you are two!
upimage_1269725408_822.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom