A day in the Buddhist college

Huku mjini sio maji tu kila kitu kiko contaminated, hata ukiamua uchemche mchicha wako na bamia chukuchuku bado hizo mboga mboga nazo huko zilikooteshwa na kukuzwa ni sumu tupu
Nilibaki na mshangao mkubwa nilipoweka mada ya kuhusu mboga mboga za Dar zilivyo hatari kutokana na maji yanayotumika kuzikuza kuna watu wakanipinga mno
 
Lakini sijui kwann mikoani hakuna sehemu zenye kutoa mafunzo kama Dar
Hii kitu kidogo huku mijini inaeleweka labda kutokana na utandawazi na exposure
tetee huko mikoani na vijijini kuna maeneo mazuri hasa ya kufanya hivi vitu lakini hebu niambie wananchi wa huko walivyojawa na imani za kishirikina hili litawezekana kweli?
 
Gmo zimeshamiri saana, hata watu wakienda dukani wanataka mbegu zile za muda mchache, hujakutana na kuku wa kizungu, chips mayai ya kizungu, tunakula sumu kila kona.
Maradhi nayo hayatokaa mbali kila kukicha maradhi yanazidi....sasa tutapataje kupona!?
 
Kwa upeo ulipo utaonekama firiimasoni
. Hadi uje umuelewesheee umekoma kwa mabango. Maeneo ya kufanyia mazoezi yapo mengi mazurii ujue hadi harufu flan nzuri ya asili unaisikiaa ambayp haipo mjini yaani hata watoto waliozaliwa mjini na hawajatoka hawaijui. Ukiwa huko na u feel kabisa nature.
 
Afadhali ya mabango mitaa ya Tarime msipokula shoka ni moto
 
Upande wa confiscius ushaandika uzi wake?
Hapana japo naiongeleaga kidogo ni mafundisho fulani very complicated, lakini ukiyapatia ni mazuri na rahisi sana...confiscious anaongelea vitu vidogo vidogo sana lakini vyenye mantiki kubwa sana
Msingi wa confiscious ni familia msingi wa familia ni baba nguvu ya baba ni mama umoja wa familia ni watoto....hiki kikundi kidogo hiki kikipatana na kuungana na vikundi vingine kumi vilivyoungana na kupatana unapata kijiji kimoja chenye nguvu sana...sasa endelea vijiji viunde kata kata ziunde tarafa tarafa ziunde wilaya wilaya ziunde majimbo/mikoa , nayo yaunde taifa moja lenye msingi mmoja nguvu moja na umoja wa wote...hakuna kitakachoshindikana hapo
Ni elimu ya maarifa yenye maono makubwa na ya mbali umoja na mshikamano
Leo hii kwa mfano tumeligawa taifa bila kujijua
Tuna vyama vya ushirikiano wa watu fulani au kabila fulani nk
Tuna vyama vya siasa
Tuna vyama vya wanawake kina baba vijana nk nk
Tuna makundi kwenye mitandao ya kijamii ya kila sina
Yani ni mvurugano mwanzo mwisho
Tuachane na hayo hebu tafuta Analects: Way and it's powers
 
Nitafanya hivyo ila quotes za hiyo teacher nimeziona
 
Nimesoma huu uzi Usiku mzima na ndio nimemaliza. Nina maombi yafuatayo: -
1. Ni-tag kwenye nyuzi ulizotaja na mpya.

2. Bado nashauri kutudonolea haya maarifa
 
Unamaanisha meditation? Maisha yetu chuoni yalijaa meditation lakini ile ya kukaa kimya kwenye lotus posture (yenye maumivu mengi sana) ilikuwa ni dk 50 kila siku lakini pia tulikuwa na meditation retreats za siku 3,5 na 7
Hivi meditation siyo against na Mungu kweli?
 
Nimeipenda sana hii, Good for you bro!
Wakati unatype hii habari ulikuwa unasinzia???

Haieleweki

Kuhusu swala hilo linajulikana tatizo ninyi bado mnaenda kufanya nini pale

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…