Half Genious
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 491
- 786
Nauza A/C bado ipo kwenye hali nzuri haijatumika muda mrefu reason ya kuuza kuhamishwa eneo nilikuwa nafanyia biashara nabsitaendekei na biashara hiyo ilinunuliwa mpya 1.3 naiuza 800k..
Tumia browser kama opera ,mozilla nkNajaribu kua upload picha zinagoma inadai cumminity hai support attachement ya type ya file hiyo sa sijui nifanyaje