A Brief History Of Computer

Historia ya Computer...................



Mkuu MziziMkavu;
Nimeipenda sana hii summary. Halafu huyo jamaa Allan Turing amesababisha hadi kitu kinaitwa "Turing Test" kwenye mambo ya Artificial Intelligence. Ni katika kujaribu kuzitumia Computers ku-mimic au kuigiza katika level ya ufahamu wa mwanadamu, kiasi kwamba unawqeza ukakutana na system imekuwa set-up na uka-interact nayo kama vile una-interact a mwanadamu, kumbe siyo, na ukaondoka bila kujua kama uliyekuwa una-interact naye siyo binadamu. System yoyote ikishafikia hatua ya ku-behave namna hii inakuwa ime-pass Turing Test. Nadhani utafiti bado unaendelea, sijui umefikia wapi. Watu wapo kwnye anga za kutengeneza computer itakayokuwa ina-"kua" ki-akili kama vile inavyokuwa kwa mtoto mdogo anapozaliwa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…