Nimepitia, nilichokiona nahisi ndiko tunakoelekea. Ukuta, 1.5, use of excessive force, nationalisim etc. Towards mkuu.Asante sana kwa haya madini mkuu. hata hivyo nasikitika kwamba watz hatuna culture ya kusoma maana ningetegemea kila mtu angekuwa amepita hapa
once again tanks
[HASHTAG]#Mods[/HASHTAG]. Pliz take note.A book.......
Alimaanisha, maana kapost vitabu kweli na sio kitabu. Kingekuwa kimoja tungesema ile s ni kosa la uandishi.Mkuu waombe mods wa edit hicho kichwa cha habari naona kidole kimekosea.
Asante mkuu mwalimu wangu wa primary alinifundisha kutumia lugha ya staha maana kuna siku alikosea neno kuliandika ubaoni nikamwambia mwalimu umekosea akasema yeye ni mwalimu hajakosea ila chaki ndiyo imekosea hivyo kwakua ulitumia kidole kutype ndicho kilichokosea. Ni uungwana huko nyuma sikumuelewa mwalimu yule[HASHTAG]#Mods[/HASHTAG]. Pliz take note.
Hope mods watasaidia kerekebisha hiyo error
- Innovator
Content ManagerFang
Content ManagerReserved
Content ManagerMaxence Melo
JF FounderModerator
Content Quality ControllerJamiiForums
Official Robot
A books belongs to dictatorship, this heading is grammatically poor.Please edit your post immediately.Habari wana JF.
kama una muda tafadhari soma vitabu hivi, ili vikuepushe usije kuwa DICTATOR either hapo home kwako au Kazini.
Utakutana na elements kama Uzalendo, nafsi ya nguvu ya kijeshi, divide and rule, nafasi ya kujilimbikizia fedha na mengineyo.
Soma ili ujitambue
Noted mkuu. Hope you have j2 njemaAsante mkuu mwalimu wangu wa primary alinifundisha kutumia lugha ya staha maana kuna siku alikosea neno kuliandika ubaoni nikamwambia mwalimu umekosea akasema yeye ni mwalimu hajakosea ila chaki ndiyo imekosea hivyo kwakua ulitumia kidole kutype ndicho kilichokosea. Ni uungwana huko nyuma sikumuelewa mwalimu yule