Du! huo ulevi ni too much. Kwanza hao walevi washindi wote wamejikunja kunja sijui wanapataje usingizi au wameishiwa fahamu!
Kunywa ni starehe ikipitiliza ni karaha, huyo mshindi naona anaongezea kinywaji hapo!..

...japo kichwa ni kati ya 15%-20% ya uzito wa mwili, kwa picha hizi, inathibitisha mlevi akishakolea mtungi, inakuwa shughuli kukibeba kichwa chake mwenyewe 😀...