Wadau
Jumla ya Wanafunzi 95 wa Shule za Sekondari Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro wamepewa mimba katika kipindi cha kuanzia January- October 2017 na hivyo kukatizwa masomo yao.
Watuhumiwa bado hawajakamatwa pamoja na taarifa kupelekwa kwa vyombo husika.
Nyie si mlifanya tafiti na kusema Ukanda huo Wanaume ni Magoigoi hadi Wakina Mama wanapata huduma za Kijamii toka Kenya? Sasa hao Wanafunzi 95 imekuaje tena???
Usimwonee mshana jr Shule hiyo kuwa Same haimaanishi ni ya Kipare. Same Sec ni shule pekee yenye kuchukua wenye vipawa kule Kilimanjaro. Tujiulize, Je ninyi mabinti mmeamua kumkomesha nani?
Usimwonee mshana jr Shule hiyo kuwa Same haimaanishi ni ya Kipare. Same Sec ni shule pekee yenye kuchukua wenye vipawa kule Kilimanjaro. Tujiulize, Je ninyi mabinti mmeamua kumkomesha nani?