93% of Crimeans vote for anexation with Russia

apakak

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
898
651
Russian media has reported that exit polls show the overwhelming majority of voters in Crimea supported union with Russia in the peninsula's referendum
Russian state news agency RIA quoted an exit poll as showing 93 percent of voters backed the move on Sunday.

Another Russian news agency, Interfax, said voter turnout had exceeded 80 percent.
Arseniy Yatsenyuk, Ukraine's new prime minister, has said that neither Kiev nor the West would recognise the referendum's results, which it says is being conducted at gunpoint.
"Now, on the territory of the autonomous republic of Crimea under the staged direction of the Russian Federation, a circus performance is underway: the so-called referendum," Yatsenyuk told a government meeting.
"Also taking part in the performance are 21,000 Russian troops, who with their guns are trying to prove the legality of the referendum."
In a phone call with German Chancellor Angela Merkel, Russian President Vladimir Putin promised to respect Crimeans' decision, and said that the referendum complied with international law.
There were two options available in the referendum. Firstly, "are you in favour of the reunification of Crimea with Russia as a part of the Russian Federation?"
The second option was "are you in favour of restoring the 1992 Constitution and the status of Crimea as a part of Ukraine?"

Returning to the 1992 constitution would give Crimea's government sweeping powers to make its own laws and control its own governance, while technically remaining part of Ukraine.
Pro-Russian armed forces took control of the strategic peninsula with a majority ethnic-Russian population soon after the Kremlin-backed Ukrainian President Viktor Yanukovich fled Kiev last month after three months of deadly protests against his rule.

SOURCE:Exit polls show Crimea votes for secession - Europe - Al Jazeera English

Juhudi za Kidiplomasia za kutafuta ufumbuzi wa Amani Ukraine, asilimia 95.5 ya wapigakura wanaunga Mkono Crimea ijitenge kutoka kwa Ukraine na kujiunga na Urusi.

Maafisa waliosimamia kura hiyo wanasema kuwa baada ya kuhesabu takriban nusu ya kura zilizopigwa Kiongozi wa jimbo hilo alisema kuwa atatuma rasmi ombi la kutaka kujiunga na urusi hapo Machi 18, Mwaka huu.

Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kuwa ataheshimu uamuzi wa wapiga kura ambapo Marekani na Jumuiya ya Ulaya wameiita Kura hiyo kuwa ni Haramu ambapo wamesema kuwa hawatatambua Matokeo yake kwani ilipigwa katika 'hali ya vitisho vya kupigwa' vilivyotolewa na wanajeshi wa Urusi.

Uchaguzi huo ulikamilika kwa Amani ingawa kulikuwa na Maandamano katika katika Miji iliyoko Mashariki mwa Ukraine, huku kukiwepo mapigano mengine katika Doneski.

Source;CNN

UPDATE

[h=1]Putin signs order to recognize Crimea as a sovereign independent state[/h]

President Vladimir Putin has signed an order that Russia recognizes Crimea as a sovereign and independent state. The Autonomous Republic of Crimea held a referendum on Sunday with over 96% voting for integration into Russia.
"According to the will of the peoples of the Crimea on the all-Crimean referendum held on March 16, 2014, [I order] to recognize the Republic of Crimea, in which the city of Sevastopol has a special status, as a sovereign and independent state," the document reads.
The order comes into force immediately.
Crimea was declared an independent sovereign state, the Republic of Crimea, on Monday, the autonomous Ukrainian regional parliament's website stated.
Crimea also addressed the UN seeking recognition as a sovereign state.
"The Republic of Crimea intends to build its relations with other states on the basis of equality, peace, mutual neighborly cooperation, and other generally agreed principles of political, economic and cultural cooperation between states," the parliament said.
The Crimean parliament also unanimously voted to integrate the region into Russia.
The parliament's resolution comes after Sunday's referendum which resulted in over 96 percent of voters answering ‘yes' to the autonomous republic joining Russia. The overall voter turnout in the referendum was 81.37%, according to the head of the Crimean parliament's commission on the referendum, Mikhail Malyshev.

SOURCE: Russia Today(RT)

http://www.aljazeera.com/news/europe/2014/03/crimeans-vote-favour-secession-2014316153324265163.html

unajua hawa western nawashangaa sana nani mwenye nguvu zaidi ya aliyepiga kura?. naomba uamuzi wa crimeans uheshimiwe nimeona hii habari bbc world news muda huu.
 
Around 93 percent back Russia Union the question is will this championed or catalysed Russia to anex other parts of Ukraine where Russia ethnics are?
 
Juhudi za Kidiplomasia za kutafuta ufumbuzi wa Amani Ukraine, asilimia 95.5 ya wapigakura wanaunga Mkono Crimea ijitenge kutoka kwa Ukraine na kujiunga na Urusi.

140316151001-02-ukraine-vote-0316-c1-main.jpg

Maafisa waliosimamia kura hiyo wanasema kuwa baada ya kuhesabu takriban nusu ya kura zilizopigwa Kiongozi wa jimbo hilo alisema kuwa atatuma rasmi ombi la kutaka kujiunga na urusi hapo Machi 18, Mwaka huu.

Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kuwa ataheshimu uamuzi wa wapiga kura ambapo Marekani na Jumuiya ya Ulaya wameiita Kura hiyo kuwa ni Haramu ambapo wamesema kuwa hawatatambua Matokeo yake kwani ilipigwa katika 'hali ya vitisho vya kupigwa' vilivyotolewa na wanajeshi wa Urusi.

Uchaguzi huo ulikamilika kwa Amani ingawa kulikuwa na Maandamano katika katika Miji iliyoko Mashariki mwa Ukraine, huku kukiwepo mapigano mengine katika Doneski.

Source;CNN
 
somo kwa Wazanzbari!

Crimea ilikuwa sehemu ya Russia,Crimea imerudi Nyumbani,1954 Crimea iliunganishwa ikawa sehemu ya Ukraine,sasa somo liko wapi kwa zanzibar
labda somo litakuwa kwa Tanganyika wakati zanzibar itakapoomba sehemu ya bagamoyo,Lindi,Mtwara,mafia kwani hizo sehemu zilikuwa chini ya Sultan wa zanziabar
 
Wewe usimnasibishe huyo sultani na zanzibar,hakuja ,hakutawala kwa ridhaa na niaba ya wazanzibari !wapi miliki yake iliishia is none of our concern hata kama alitawala mpaka kongo!
 
Wewe usimnasibishe huyo sultani na zanzibar,hakuja ,hakutawala kwa ridhaa na niaba ya wazanzibari !wapi miliki yake iliishia is none of our concern hata kama alitawala mpaka kongo!

Kwani matatizo yako nini Mkuu soma ufahamu kwanza ndio utafute jibu la kujibu sio unakurupuka tuu!!!Kwani wewe umefahamu nini katika hiyo "comment" kwavile umeona kumeandikwa sultani kimekufukuta umeanza kujibu bila ya kusoma,,,,,-------
 
Wewe usimnasibishe huyo sultani na zanzibar,hakuja ,hakutawala kwa ridhaa na niaba ya wazanzibari !wapi miliki yake iliishia is none of our concern hata kama alitawala mpaka kongo!
hata wamarekani weupe walingia na kutawala marekani bila ridhaa ya wahindi wekundu.
 
marekani ndumila kuwili, wameshangulia kupinduliwa kwa serikali ya Ukraini kwa kisingizio cha wananchi wameamua kisa kuna maslahi ya tapatikana kwa upande wao. wananchi haohao wameamua kupiga kura kujiunga na urusi, anakuja kuu dhidi ya urusi. after all crimea imerudi nyumbani kwake maana ukraini waliazimishwa tu kwa muda wailee
 
naomba uamuzi wa crimeans uheshimiwe nimeona hii habari bbc world news muda huu.

Democrasia kwa ulaya na USA,,,ni wakati ule mambo yanapo enda kulingana na wao.

Kwani wao ndio,,Alfa na Omega,,katika hii dunia.

Wakati Ukraine na wengine walipo piga kura kujitenga na Russia,,,ahaaaaaaaa,,,,
Ulaya na USA wakasema kwamba maoni ya wengi ni lazima yaheshimiwe.

Wakati Crimea inapo piga kura kujiunga tena na Russia,,,,ohoooo,,,USA na
Ulaya hawawezi,,,kutambua hii kura ya maoni.

Si ni double standards,,,,bure kabisa hawa makaburu wa Ulaya na USA.:biggrin:

I hope choices does not have consequences as happened,,,hehehe,,in Kenya.
 
Crimea ilikuwa sehemu ya Russia,Crimea imerudi Nyumbani,1954 Crimea iliunganishwa ikawa sehemu ya Ukraine,sasa somo liko wapi kwa zanzibar
labda somo litakuwa kwa Tanganyika wakati zanzibar itakapoomba sehemu ya bagamoyo,Lindi,Mtwara,mafia kwani hizo sehemu zilikuwa chini ya Sultan wa zanziabar

Hacha upuuzi wewe! unaleta uzanzibari na uzanzibara?
 
Hacha upuuzi wewe! unaleta uzanzibari na uzanzibara?

Ubaguzi wa Uzanzibari na Uzanzibara kauleta Nyerere yeye ndie alikuwa mtu wa mwanzo kulitumia hili neno,kabla ya hapo watu walikuwa hawajajibagua wanajijua wao ni nani.

'Comment' yangu nilimjibu yule jamaa aliefananisha kinachoendelea Crimea na Zanzibar kwa kusema "Somo kwa zanzibar"...Jibu langu lilikuwa huwezi kufananisha zanzibar na Crimea kwani kabla Crimea haijawa sehemu ya Ukraine ilikuwa sehemu ya Urusi,mwaka 1954 Crimea ilikabidhiwa kwa Ukaraine

kwahiyo huwezi kufanannisha Zanzibar na Crimea kwani zanzibar haijawahi kuwa sehemu ya Tanganyika,isipokuwa kuna sehemu za Tanganyika zimewahi kuwa sehemu za Zanzibar....nimezitaja kama Bagamoyo......

Sasa hapo nimeleta wapi Uzanzibari na Uzanzibara......?

Nikuulize personal question Mkuu,Je wewe ndio wale walioshiandwa kufaulu darasa la saba nini ;)
 
Asilimia 92% ya waurusi wamekubali crimea kujiunga na urusi na mdaa huu Puttin anatia sahihi mkataba wa muungano na baada ya hapo kutafanyika mabadiliko ya kikatiba.
 
changamoto ni je kwa kusaini mkataba huu je USA and EU wataweza kuzuia maamuzi ya Wacrimea na Waurusi ambao zaidi ya 90% wamekubali?
 
EU na US sijui watafanyaje, hivi bado tuko kwenye era ya cold war au tushafik WW3?
Tanahabi: Historia nilikuwa napata negative A.
 
Back
Top Bottom