BIBI YUKO VYEMA
Yaani mlitaka kumfanya fursa ? Au mlitaka kumuonyesha fursa.. ?, wengine wanafanya vitu for fun.., msimchoshe mzee wa watu muacheni afanye kile kitu roho inapendaKama bibi yangu yaani. At 90 bado anachora hina maharusi. Tulitaka apelekwe maonesho ya saba saba akagoma
πππUsikute wakati wa ujana alikuwa anachora kujifurahisha,dakika za nyongeza anagundua ni dili
At that age her virginity is restored [emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]
Ume imagine utakavyokua?Amaizing!,bibi yuko vizuri