90% ya sababu za kuchepuka huletwa na wanawake

90% ya sababu za kuchepuka huletwa na wanawake

mambo mengine kwenye ndoa tunayaweka lakin hayana msingi wowote kwenye uhusiano wenu. mtu unataka ufanyiwe kila kitu as if wewe ni mlemavu?
unalalamika mkeo mchafu wakati ni jukumu lako kumtunza ?
unataka uvuliwe hadi soks? ujinga huu
 
Jamaa ni mwanaume na kaongea ya upande wake, badala ya kumponda, ongelea na wewe yapi wanawake mnataka. Mboga imeshamwagwa, mwaga ugali nawe!

Wanaume toeni kwanza dhana ya kumwona mwanamke ni sex object na kijakazi wa kukufanyia mambo na kukuzalia tu ukishatoa hizo poor mentality utamuheshimu mwanamke na kumuhurumia.
 
Wanaume acheni kuendekeza ujinga uvuliwe soksi sijui ufanyiwe nini kwani mwanamke hachoki kazi zote kibeba mimba na kulea bado mnataka mfanywe wafalme aibu tupu,uvivu na kujiendekeza hasa zinaa kwa kumtaftia mkeo sababu. Mapenzi hujengwa na wawili sio mwanamke tu acheni kutafta sababu mi mume wangu namnyoosha na mchepuko hapati

Utaachwa shauri yako
 
1. Mwanaume huwa hamzoei mkewe eeeh?
2. Usafi tena wa mwili wako mpaka mke akushurutishe?????
3. Hahaha hivi unajua mke anatakiwa kuandaliwa kwa muda gani????
4.kwa hiyo mke alete ndugu wa kiume tu? Ni kujitoa fahamu mbona hatongozi dada zake au mama yake????

Mahusiano yanajengwa na wote wawili. Ukijikalisha kudhani ni jukumu la mwanamke pekee ili upate kisingizio cha kuchepuka, jua kuna wenzio nao watachepuka na mkeo.....

Leo mmepewa za uso...
Mna tapa tapa tuuu
 
We naona hauko busy mpenzi, mie amu biziii mpaka shetani akiniona anakimbia, si unajua tena mwanamke anatakiwa awe robort.

Naona atoto wakati unasoma huu uzi ulikuwa unatetemeka kwa hasira....
 
Last edited by a moderator:
Haya Mambo ya mapenzi kati ya mwanaume na mwanamke ni kama kisa cha kati ya kuku na yai kipi ni cha kwanza...hutakaa upate jibu nnachoamini ni kwamba mwanamke ni msaidizi wngu basi...kwa maana hyo ntafanya Mambo yngu mwenyewe yy atanisaidia2 sox atanivua nikiwa naumwa
 
Naona atoto wakati unasoma huu uzi ulikuwa unatetemeka kwa hasira....

Walaaa hata sikushikwa na hasira, niliingiwa tu na huruma sijui kwanini!
 
Last edited by a moderator:
Naamini 30% za kuchepuka husababishwa na wanawake 70% husababishwa na wanaume why men 70%...

-Wanaume wanaopenda umwinyi wanaopenda kuabudiwa..wanaopenda kutukuzwa, wengi wanaamini kuchepuka ndio solution

-Wanaume wengi sio problem solvers but walalamikaji hawajaribu kutatua kero ndogo ndogo from begining kaz kulalamika tuu...mwishowe huchepuka

-Wanaume wengi haturidhiki, hatukubali waenzi wetu, hatukubali madhaifu ya waenz wetu na kuyachukulia kama yetu wote hvyo kushirik hatua kwa hatua kutatuaa

-peers presha, plus bad notion kwamba michepuko ndo kila kitu, michepuko ndo solution hususani hum jf..unakuta mtu anachepuka alafu anathubut kuongea confidently mbele ya watu..hii inatufanya kuamini katika michepuko

Mungu tubariki sisi wanaume wa dot.com tuwe problem solvers...


Cc mito atoto Heaven Sent
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi yanajengwa na wote mwanaume na mwanamke. Unataja mwanamke peke yake apalilie penzi lenu...wewe umerelax tu unajua jukumu la mume ni kuacha hela ya matumizi peke yake. Mke nae ni binadamu Kama wewe. Kaeni chini mtafakari kwa pamoja nini cha kufanya.
Na nyie waume mna mapungufu mengi tu ya kutufanya tuchepuke. Kama wewe unachepuka ujue na mkeo hivyo hivyo.
 
Utaachwa shauri yako

Hahaaa hawa viumbe hawatabiri hata u.fanyeje haridhiki ataendeleza tu tabia yake mbovu. Ka wanaweza kutelekeza familia na watoto sembuse kujitaftia sababu za kuchepuka. Wanaume hawajui nini wanataka sasa imagine mt u kaoa last year mwezi wa tano ameanza michepuko.
 
Back
Top Bottom