mimi ni Mahmoud Qaasim, sijakuzuia, wala siajwahi kufikiria jambo kama la kukuzuia, na siwezi kukuzuia kutoa maoni yoyote yale.
ninachosema wacha chuki, toa maoni bila chuki ilitupate kufaidika na maoni yako. maana kila kunapotokea hoja ya kijamii hoja ambayo inaudhalilishaji ndani yake hata kama aliyelifanya ni mtu binafsi basi fikra zako huja ni kuhusisha udhalilishaji huo na uislam. hilo ndilo linalonifanya nikwambie usiendeshwe na fikra za chuki.