9 Most racist Countries in the World

Yani katika hii list kuikosa Italy,USA,China.
List haina maana pia kuikosa Spain na Israel hii list haimeki sensi
 
Hata wazungu msemo wao ni kama huo usemao; Ni bora padri mzungu awe mzinzi kuliko padre awe mtu mweusi asiye mzinzi.
... lakini hao wazungu hawamo kwenye hiyo list ya racists! Kuna swali limeulizwa mara nyingi ila halijawahi pata majibu ya kueleweka; kwamba slave lords walikuwa arabs ila "people of color" hawapo uarabuni; why?
 
... lakini hao wazungu hawamo kwenye hiyo list ya racists! Kuna swali limeulizwa mara nyingi ila halijawahi pata majibu ya kueleweka; kwamba slave lords walikuwa arabs ila "people of color" hawapo uarabuni; why?


Swala ni racism au ni slave trade??!

Kama ni slave trade basi wahenga walisema; "Aliyekutwa na ngozi ndiye mwizi", na kuhusu racism Martin Luther king jr alipokuwa anahutubia maandamano ya kudai haki za kiraia ikiwa ni pamoja.na kupinga ubaguzi dhidi ya mtu mweusi huko Marekani alipata kusema katika moja ya mkutano wake maarufu wa hadhara (pamoja na maneno mengine) kwamba; "----- I have a dream that one day my four little children will one day live in a nation where they will not be judged by the colour of their skins but by the content of their characters---" ,, huko alikuwa akiwahutubia Wazungu wabaguzi.
 
Urusi na USA hazimo?
 
... anyway, tuachane na those old days maana vizazi na mitazamo hubadilika. Utafiti (not mere words) unaojadiliwa hapa ni wa hivi karibuni. Umetufumbua macho tofauti na tulivyokuwa tunaaminishwa.

Kwa mfano, nilijua Indians were among the best human kinds kuchangamana na races nyingine kume; loooh! Au mayahudi were the worst human kinds ever unapozungumzia ubaguzi (wa rangi) kumbe it was quietly different!
 


Wahindi ubaguzi ni moja ya jadi yao, huko kuna classes (castes), caste ya kwanza ni Wafanya biashara/matajiri, ya pili ni wanasiasa, ya tatu ni wafanya kazi/ middle class na nne na mwisho ni wale wa haki ya chini sana ambamo humo ndimo kuna ombaomba nk,--- kumbuka pia class zote hizo ni Indians isipokuwa ni makabila tofauti tofauti tu, sasa kama Muhindi anaweza kumbagua muhindi mwenziye vipi wewe mtu mweusi usiyekuwa Muhindi??!!.

Kuhusu Waisraeli, wao ubaguzi unaanza ndani ya Torati yao, ubaguzi ni mafundisho ya dini yao, na mfano ni huko kwao Israeli ambapo Waizraeli wa asili ya Ethiopia (mafalasha) Wanabaguliwa kishenzi.
 
Iyo listi nchi za kobaaz ndo zinaongoza kwa ubaguz. Taifa teule haipo kwenye iyo list mmezidi tu kuisingizia. Makobaaaz ndo mabaguzi Sana hata wenyewe kwa wenyewe.
.... umma wa hakhiiii! Mabaguzi balaa; nadhani ndicho "kilichomuwasha" zaidi.
 
... ukiacha hilo la ubaguzi wa wahindi ambalo unadai ni jadi yao; what is your standing? Unakubaliana au hukubaliani na matokeo ya utafiti unaojadiliwa hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…