9 December 1961 ulikuwa wapi?

Sijazaliwa. Yanini wengine kusema uongo humu au kufanya jokes. Tuwaache wazee waje watupe uhondo hapa.
 
Ni mipango tu ya Baba na Mama lakini kuzaliwa ilikua bado.
 
nilikuwa darasa la kwanza shule ya msingi jilala kwimba, tena ilikuwa na mwalimu mkuu mdhungu
 
kalenda inaonyesha ilikuwa ni siku ya jumamosi.kwa wale wa enzi hizo mnaweza kutueleza mlikuwa wapi siku hiyo?naomba uzoefu wenu.

Nilikuwa kwa mwanzo, ndani ya neno.
 
Mshua wangu alikuwa na miaka nane,maza kabisaaa bado hajazaliwa
 
jamani fungukeni zaidi ,mlikuwa wapi?
 
sijazaliwa. Mamangu aliolewa 1977 na 1978 akazaliwa 1st born ( my dada ).. Ngoja nimuulize mamangu alikuwa wapi siku hiyo...
 
Nilikuwa kwenye mifuko miwili inayohang btn two legs na kwenye ovari nikisubiri kurutubishwa ili nitoke na baada ya kutoka ndipo nikawa nafahamika kama handsome wa mama.
 
Mshua alikuwa na miezi tu, maza ndo kabisa hata kufikiriwa tu kuzaliwa hakuna. Sisi wana wa mzee ruksa bwana, haya ngoja tuwapishe wale wa mzee wa kifimbo walonge. Hoping mzee wetu mwandosya atachangia kidogo maana kumbe naye ni memba mwenzetu.
 
Mimi ni mdingi kweli kweli japo sipendi kukumbuka sana mambo ya nyuma.
 
Kama nlikuona vile ukifurahi kupewa pesa yenye tundu katikati ilikuwa inaitwa hela tano, nyingine hela saba n.k.na zilikuwa zimepamba kwa picha ya meno ya tembo hivi. Siku zile neno Uhuru lilikuwa linawashinda kutamka baadhi ya majirani zako na kutamka buluu badala ya uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…