mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,092
hamkosi maneno na mkifungwa mtahama jf
Wewe nenda kalale bwana unaonekana kama umelewa ulanzi.
hamkosi maneno na mkifungwa mtahama jf
Wewe nenda kalale bwana unaonekana kama umelewa ulanzi.
Watangazaji wa azam tv ni janga la kitaifa, yaani sijui pale azam tv media Limited wanatumia vigezo gani kuajiri hawa makanjanja wao.
Dk 55
Yanga 1 - 0 Mtibwa
Ngasa anatupia