7E, 20E, 26E,28.2E,38E,46E,55E CHANNEL working nice


Hii kitu hiwa siielewi! na kila inapotokea hatujui wa kumuuliza chochote, AU ni iligal?
 
jamaa sio mbogo huyu nafikiri anafanya kazi kiwanda huko uchina hivo wasilianeni nae kwa email au PM kwa kidhungu awape mchakato
 
jamaa sio mbogo huyu nafikiri anafanya kazi kiwanda huko uchina hivo wasilianeni nae kwa email au PM kwa kidhungu awape mchakato

Sasa wanachofanya si kama jamaa WA cable hapa Tanzania? Badala ya kuunganishiwa na cable wao wanatumia internet.

Umeongea nao price zao zipoje?

Kama unapata local tv iptv za nje zimejaa kibao net na ni bure unazipata japo hazidumu sana ila kama mjanja unazipata
 

yaani jamaa anauza FTA receiver ambako utakamata zile chanel zilizo FTA au zile zilizofungwa kwa BISS keys ndo ametaja channel kama TV3 Ghana,Irib TV3/Varzesh,ametaja na Champion TV na nyinginezo...
ambazo unaweza zipata hata ukiwa na receiver zetu hizi za wiztech,hawk,ibox,strong,qsat,azsky etc

Juu ya hapo ndani ya hizo receiver zake kuna channel za IPTV ambazo ameziita Africa IPTV ila sijaona channel native ya africa

Nimewai kumtumia email kuuliza kama naweza pata mzigo maana kuna kipindi alipost ana receiver kuanzia 23-48$
na mm nilikua interested nazo sababu bei ilikua fair ila akanambia anauza order kubwa 100pcs na email zenyewe mpaka akujibu inapita hata week mbili nkaachana nae
 

Yah nimerudia post nimemuelewa. Ila inaonekana kama scam.
 
Msaada kwa anajua kuinstall Idman Azerbaycan at Azerspace/Africast 1a 46.0E 11175 H 27500 Hii ni FTA bomba sana kwa Soccer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…