75% ya misaada ya kijeshi na kiuchumi kutoka Marekani inakwenda kwa nchi mbili

Erijo

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
453
378
Asilimia sabini na tano (75%) ya misaada ya kijeshi na kiuchumi inayotoka Marekani inakwenda nchi mbili tu ambazo ni Israel na Egypt (Misri). hii ni kwa mujibu wa CNN according to the government's Foreign Assistance report

(CNN) American taxpayers doled out $5.9 billion in foreign military financing in 2014, according to the government's Foreign Assistance report -- that's roughly the GDP of Somalia. But where did the money go?

To the usual suspects, mostly -- Israel ($3.1B) and Egypt ($1.3B) received roughly 75% of all foreign military aid money handed out by the U.S. last year.

This map from the cost-information website howmuch.net shows the relative size of countries based on how much U.S. military aid they receive.

151111110337-us-foreign-military-aid-2014-exlarge-169.jpg

The top five recipients of foreign military financing in 2014, according to the report:

1. Israel: $3.1 billion

2. Egypt: $1.3 billion

3. Iraq: $300 million

3. Jordan: $300 million

5. Pakistan: $280 million

What also stands out from the report is the regional distribution -- the Middle East (64%) and Africa (23%) account for 86% of all U.S. foreign military financing last year.

U.S. spent $35 billion on foreign economic aid last year
The $5.9 billion for military funding represents 17% of the roughly $35 billion the U.S. spent on foreign aid in 2014, according to the report.

This map from howmuch.net shows the relative size of countries based on how much total economic aid they received from the U.S. last year:

151111110652-us-foreign-aid-2014-exlarge-169.jpg

Again, the Middle East dominates the top five, thanks mostly to Israel. Here's the total amount of aid the top countries received:

1. Israel: $3.1 billion

2. Egypt: $1.5 billion

3. Afghanistan: $1.1 billion

4. Jordan: $1 billion

5. Pakistan: $933 million

Source: U.S. foreign military aid: 75% goes to two countries - CNNPolitics.com
 
Tanzania hapo naiona kwenye Red ila amount sioni kitu habu tutajieni Mwamunya anapokea kiasi gani...!
 
Bila waarab Jordan na Misri kuhongwa usalama wa Israel ungekuwa shakani.. Jeshi la Misri sio mchezo kabisa... Ndo jeshi pekee la waarab lenye nguvu pale middle east ukiondoa Iran. Na ndo maana Misri ana ushawishi mkubwa sana pale middle east.
 
Ni kweli mkuu, Marekani inajua umuhimu wa Israel na Misri ndio maana anatoa sehemu kubwa ya fedha kuongeza ushawishi wake eneo la Mashariki ya kati. Hii ndiyo nguvu ya marekani katika kutawala geopolitics za mashariki ya kati.
 
na pia usalama wa mfereji wa Suez, kama ilivyo mfereji wa Panama. Akitawala rais asiye puppet wa marekani nchi hizi mbili (Panama na Misri) lazima wamng'oe
 
Tanzania hapo naiona kwenye Red ila amount sioni kitu habu tutajieni Mwamunya anapokea kiasi gani...!

List ya misaada ya kiuchimi na kijeshi kwa nchi wanachama wa jumuia ya Afrika Mashariki

Misaada ya Kiuchumi (Economic Aid received by EAC member states from the U.S)
Tanzania $588M

Kenya $560M

Uganda $489M

Rwanda $197M

Burundi $ -

Sudani Kusini $287M

Misaada ya kijeshi (Military Aid received by the EAC member states from the U.S)

Tanzania $0.2M

Kenya $1.2M

Uganda $0.2M

Rwanda $ -

Burundi $ -

Sudani Kusini $ -
 
Wanawekeza mahali watapopata faida na shehena ya dunia, sa huku kwetu...
 
Wanawekeza mahali watapopata faida na shehena ya dunia, sa huku kwetu...
Hivi kuna tofauti ya masharti ya misaada inayotolewa na Marekani kwa nchi mbalimbali duniani mfano naona mataifa mengi ya kusini mwa jangwa la sahara ukiondoa Afrika Kusini, misaada na masharti yake yamekuwa shubiri kwa mataifa husika, Ila misaada hiyohiyo imekuwa neema kwa mataifa ya Afrika kaskazini, Mashariki ya kati (hususani Israel na Misri), mataifa ya ulaya, mataifa ya Asia na ya Amerika. Kwasababu wanapewa misaada isiyo na masharti magumu, pia hiyo misaada inajitosheleza sio kama hii kanda yetu ya kusini mwa jangwa la sahara.
 
  • Thanks
Reactions: kui
List ya misaada ya kiuchimi na kijeshi kwa nchi wanachama wa jumuia ya Afrika Mashariki

Misaada ya Kiuchumi (Economic Aid received by EAC member states from the U.S)
Tanzania $588M

Kenya $560M

Uganda $489M

Rwanda $197M

Burundi $ -

Sudani Kusini $287M

Misaada ya kijeshi (Military Aid received by the EAC member states from the U.S)

Tanzania $0.2M

Kenya $1.2M

Uganda $0.2M

Rwanda $ -

Burundi $ -

Sudani Kusini $ -
Sasa Hiyo Misaada Mbona hatuioni zaidi ya kuona Makomandoo wakivunja Vitofari... Na Bajeti yetu ni Shida tu... hivi kuna Ma auditor?
 
Hivi kuna tofauti ya masharti ya misaada inayotolewa na Marekani kwa nchi mbalimbali duniani mfano naona mataifa mengi ya kusini mwa jangwa la sahara ukiongoa Afrika Kusini, misaada na masharti yake yamekuwa shubiri kwa mataifa husika, Ila misaada hiyohiyo imekuwa neema kwa mataifa ya Afrika kaskazini, Mashariki ya kati (hususani Israel na Misri), mataifa ya ulaya, mataifa ya Asia na ya Amerika. Kwasababu wanapewa misaada isiyo na masharti magumu, pia hiyo misaada inajitosheleza sio kama hii kanda yetu ya kusini mwa jangwa la sahara.

Nafikiri inategemea pia na wanachopata kutoka misaada wanayotoa.
Mfano ukiangalia eneo zilizopo hizo nchi 2 zenye kupokea msaada mkubwa, Lina manufaa kwao zaidi.
Baadhi ya nchi in that area ziko kwenye list ya world largest oil reserve. Halafu pia kiusalama, eneo limekuwa kiini cha terrorism inayowawinda especially in recent years.

Sasa sub saharan Africa countries, I don't think we have much to offer (I stand to be corrected)
 
Sasa Hiyo Misaada Mbona hatuioni zaidi ya kuona Makomandoo wakivunja Vitofari... Na Bajeti yetu ni Shida tu... hivi kuna Ma auditor?
Mimi nimesoma hii report kutoka shirika la habari la CNN, ila sijui zaidi ya hapo. Lakini si unasikia wahisani kwenye budget yetu? Huenda ndiyo hii misaada
 
Nafikiri inategemea pia na wanachopata kutoka misaada wanayotoa.
Mfano ukiangalia eneo zilizopo hizo nchi 2 zenye kupokea msaada mkubwa, Lina manufaa kwao zaidi.
Baadhi ya nchi in that area ziko kwenye list ya world largest oil reserve. Halafu pia kiusalama, eneo limekuwa kiini cha terrorism inayowawinda especially in recent years.

Sasa sub saharan Africa countries, I don't think we have much to offer (I stand to be corrected)

Lakini ujue kuwa Misri na Israel hakuna natural resources kama gesi, madini na mafuta ila Sub Saharan Africa zimejaa tele.

Hata afrika hususani eneo la maziwa makuu kama DRC hakuna usalama pia eneo la pembe ya Africa kuna ugaidi na uharamia sana hususani Somalia na US anamaslahi yake huku na ana military base yake eneo hili ila Misaada bado ni midogo

kuna maslani makubwa sana ndani ya eneo la sub Sahara Africa kuliko Israel na Misri. ila nafikiri sababu ya kupeleka misaada mingi huko Mashariki ya kati kwa Israel na Misri ni kulinda maslahi yake kwa nchi jirani katika kanda hiyo na kumaintain geopolitics zake huko. Ni ukweli uliowazi kuwa eneo la sub Saharan Africa halina ushawishi kwa geopolitics za marekani. Ila Israel na Misri zina ushawishi mkubwa kidunia katika geopolitics za dunia kwenye kanda zima ya mashariki ya kati.

.......Ni mtazamo wangu.
 
Ni kweli.
Zaidi sana wanaangalia maslahi yao katika eneo lote la mashariki ya kati.

Lakini mkuu, laslimali zetu ni nyingi kwa kiasi gani cha kuwavutia?! Sababu tukiongelea middle-east kwa mfano, wanatoa millions of barrels of oil na kwetu sijui ni nchi gani inaweza fikia hivo (probably Nigeria)?!
Hata kutoa msaada au kuwekeza sehemu isiyo na enough resources kwa kiwango chao naona inawatia uvuvi.

(Talking about gas and other natural resources)
Mtwara yetu haijaanza vuma sana kutuwezesha kupata misaada ya maana. :)
 
Hizo million barrels za oil zinazozalishwa kwa siku huko middle East hazitoki Israel wala Misri, zinatoka Iraq,Kuwait ,Libya nk.... Hebu linganisha rasilimali za Israel au za Misri na nchi kama Tanzania, DRC na nyinginezo.

kama ni mafuta hata Libya, Nigeria na Angola wanazalisha millions barrels of oil per day. Ila hakuna inflow ya misaada mingi kama huko Israel na Egypt ndo maana nasema hizi nchi mbili zinapokea misaada si kwakuwa zina rasilimali nyingi kama sub Saharan Africa ila America wanataka kumaintain na kuwin geopolitics na ushawishi wake katika eneo la mashariki ya kati. kumbuka kuwa Middle East ni eneo muhimu sana kwao kwa kuwa ni military strategic area. Macho ya dunia nzima yanaelekezwa msshariki ya kati, kila kukicha ni headlines za mashariki ya kati. UN, EU, wanachama watano wa kudumu wa UN (veto power), NATO na mataifa mengine yenye nguvu na ushawishi duniani yanaelekeza juhudi zao katika kanda ya mashariki ya kati.
 
  • Thanks
Reactions: kui
marekani mjanja sana hizo nchi zote 4 ukiangalia zimeikalia vibaya israel na jukumu la marekani kulinda usalama wa israel kwa namna yoyote ile.
 
Back
Top Bottom