utafiti wangu wa haraka kwa wafanyakazi wa serikali na sekta binafsi umeonesha wengi wa wafanyakazi huishi kwa kupokea mshahara chini ya milioni 2 kwa mwezi.
Maisha huendeshwa kwa "dili" ndani na nje ya ofisi husika.
ni asilimia chache ya wafanyakazi hapa nchini hupokea mshahara kuanzia milioni mbili na kuendelea.
kama nakosea nisahihishwe.
its a fact. wewe unasemaje?
Mimi sitafuti kazi kwa wanaotafuta kazi, mimi natafuta kazi kwa wenye kazi...!
huko maofisini usione watu wameuramba, wanapokea mshahara mdogo ajabu ndio maana wanaiba. mshahara wanaopata wafanyakazi wa serikali hata mwezi hauishi unatakiwa kuwa umeisha. lakini utaona wana magari fresh ya wizi au hata kama ni mkopo, si rahisi kusavaivu bila wizi. serikali yapasa kuongeza mishahara kwa kweli.
huo ni ukweli mchungu mkuu. taaluma haziheshimiwi. wanasiasa wanajipendelea. ndio maana kila siku ni utitiri wa vyama. its a high time now taaluma sasa ziheshimiwe kwa namna hiyo nchi itaendelea.
umetaja ndefu sana. asilimia 50% ya wafanyakazi wa serikali kabla ya makato ni laki sika hasa wale ambao wamefanya kazi chini ya miaka mitano. lakini hapohapo utakuta ana gari inayokuwa alfu ishirini kila siku kwenda kazini na kurudi, bado kula chai na mchana, mkewe anapewa pesa, watoto wanasoma shule za milioni na nusu na ana watoto watatu. na anajenga nyumba ya kueleweka. hiyo laki sita utakuta wamekata kwa mwezi mkononi anabakiwa na laki mbili na nusu au laki mbili, lakini ana maisha mazuri tu. unajiuliza dah.mtu kaulamba vibaya mno. angalia salary slip baada ya makato laki 6. halafu uliza mali alizonazo. gari ya mkopo 11 mil. anapanga nyumba kodi 3k. kila siku anakunywa bia. bado anahonga. its a sad life. ila ndivyo maisha ya wengi yalivyo. bado sisi ni maskini mno.
Mkuu namiliki kampuni yangu ya LUBAJARO INVESTMENT Co. LTD, ina deal na Transportation ya Mazao ya Chakula, nasafirisha Sudan Kusini, Kenya, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi, Zambia, DRC Congo, Rwanda, Uganda na Burundi...!
Wanajf, jaribuni kumwelewa mleta hoja. Huenda anamaanisha yafuatayo:-Wanajf, jaribuni kumwelewa mleta hoja. Huenda anamaanisha yafuatayo:-
Nadhani ni chini ya million coz kuna mishahara ya kima cha chini sana.
nafikiri we we unaweza kuwa mdau mzuri wa huku kulialia kwetu nafikiri kuna haja ya kufungua page nyingine tuweze kupata success story zinaweza kuwatoa vijana mafanikio ya watu zaidi zinahitaji simulizi za mafanikio.Mkuu namiliki kampuni yangu ya LUBAJARO INVESTMENT Co. LTD, ina deal na Transportation ya Mazao ya Chakula, nasafirisha Sudan Kusini, Kenya, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi, Zambia, DRC Congo, Rwanda, Uganda na Burundi...!
haha mkuu watu wanahasira maana ni ukweli wengi wanapokea mishahara hiyo. that is a reality. we have to live with it. nchi maskini hii. haha.