Tetesi: 70% ya Wabunge hawatarudi!

Tetesi: 70% ya Wabunge hawatarudi!

Investigation Unit

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2023
Posts
357
Reaction score
399
Ukweli mchungu Wabunge waliopo madarakani Kwa zaidi ya 70% hawatarudi bungeni,

Kwanini hawatarudi majimboni,

1. Wengi wao hawakuwa chaguo la wanachama na wananchi ila chaguo la Hayati Magufuli

2. Wengi wao hawajafanya chochote kwenye majimbo yao na wao hutembelea kazi za Rais Samia ila wao kama wao ni sifuri,

3. Wengi wao baada ya kuwa wabunge walijawa na majivuno na madharau Kwa wanachama na wapigakura kwakuwa hawakuamini kama mjumbe Wala mpigakura anaweza kuwaweka au kuwaondoa madarakani.

4. Wengi wao ni mabubu hawajawahi kuongea Kwa miaka yote Mitano badala yake wamekuwa wakiuliza maswali hasa ya nyongeza Kwa vijikaratasi na kuwataka mawaziri wajibu.

5. Wengi wao walitarajia kuwa mawaziri na waliwaaminisha wapigakura wao kuwa watakuwa mawaziri Kuna wafanya wakate tamaa ya kugombea hasa kutoa pesa kwaajili ya takrima za wajumbe,
 
Umenikumbusha mambo ya HAWA GHASIA. Aliwaambia wananchi wa Msimbati kuwa yeye si mwanamke wa kuloweka chupi yake kusaka "MAKARARU" baharini ili aishi..!! Wakala kichwa.
 
6.Baadhi ya majimbo watapewa upinzani kama hisani
 
Kwani ni wabunge wale? Team jiwe, kuna nini cha maana wamefanya miaka 5 zaidi ya kurubberstamp docs za mama na marehemu jiwe?
 
Umenikumbusha mambo ya HAWA GHASIA. Aliwaambia wananchi wa Msimbati kuwa yeye si mwanamke wa kuloweka chupi yake kusaka "MAKARARU" baharini ili aishi..!! Wakala kichwa.
Alistahili kuliwa kichwa, si kauli za kuwatamkia wananchi, na anabahati yuko tz. Nchi za wenzetu angekuwa right off na hakuna nafasi ya uongozi angeshika tena
 
Ukweli mchungu Wabunge waliopo madarakani Kwa zaidi ya 70% hawatarudi bungeni,

Kwanini hawatarudi majimboni,

1. Wengi wao hawakuwa chaguo la wanachama na wananchi ila chaguo la Hayati Magufuli

2. Wengi wao hawajafanya chochote kwenye majimbo yao na wao hutembelea kazi za Rais Samia ila wao kama wao ni sifuri,

3. Wengi wao baada ya kuwa wabunge walijawa na majivuno na madharau Kwa wanachama na wapigakura kwakuwa hawakuamini kama mjumbe Wala mpigakura anaweza kuwaweka au kuwaondoa madarakani.

4. Wengi wao ni mabubu hawajawahi kuongea Kwa miaka yote Mitano badala yake wamekuwa wakiuliza maswali hasa ya nyongeza Kwa vijikaratasi na kuwataka mawaziri wajibu.

5. Wengi wao walitarajia kuwa mawaziri na waliwaaminisha wapigakura wao kuwa watakuwa mawaziri Kuna wafanya wakate tamaa ya kugombea hasa kutoa pesa kwaajili ya takrima za wajumbe,
Mhamasishe vijana kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.wengi waliojitokeza katika kuhuisha taarifa zao na kujiandikisha ni wanawake na wazee vijana mkoa wapi?hamasa ni ndogo sana mitaani.
 
Ukweli mchungu Wabunge waliopo madarakani Kwa zaidi ya 70% hawatarudi bungeni,

Kwanini hawatarudi majimboni,

1. Wengi wao hawakuwa chaguo la wanachama na wananchi ila chaguo la Hayati Magufuli

2. Wengi wao hawajafanya chochote kwenye majimbo yao na wao hutembelea kazi za Rais Samia ila wao kama wao ni sifuri,

3. Wengi wao baada ya kuwa wabunge walijawa na majivuno na madharau Kwa wanachama na wapigakura kwakuwa hawakuamini kama mjumbe Wala mpigakura anaweza kuwaweka au kuwaondoa madarakani.

4. Wengi wao ni mabubu hawajawahi kuongea Kwa miaka yote Mitano badala yake wamekuwa wakiuliza maswali hasa ya nyongeza Kwa vijikaratasi na kuwataka mawaziri wajibu.

5. Wengi wao walitarajia kuwa mawaziri na waliwaaminisha wapigakura wao kuwa watakuwa mawaziri Kuna wafanya wakate tamaa ya kugombea hasa kutoa pesa kwaajili ya takrima za wajumbe,
watajua wenyewe uzuri wote ni ccm watauana tu mwaka huu
 
We unakumbuka Mbuge mmoja Mama aliwaambia wazee hata yeye anauwezo wa kuwakojelea wakala kichwa
 
Ukweli mchungu Wabunge waliopo madarakani Kwa zaidi ya 70% hawatarudi bungeni,

Kwanini hawatarudi majimboni,

1. Wengi wao hawakuwa chaguo la wanachama na wananchi ila chaguo la Hayati Magufuli

2. Wengi wao hawajafanya chochote kwenye majimbo yao na wao hutembelea kazi za Rais Samia ila wao kama wao ni sifuri,

3. Wengi wao baada ya kuwa wabunge walijawa na majivuno na madharau Kwa wanachama na wapigakura kwakuwa hawakuamini kama mjumbe Wala mpigakura anaweza kuwaweka au kuwaondoa madarakani.

4. Wengi wao ni mabubu hawajawahi kuongea Kwa miaka yote Mitano badala yake wamekuwa wakiuliza maswali hasa ya nyongeza Kwa vijikaratasi na kuwataka mawaziri wajibu.

5. Wengi wao walitarajia kuwa mawaziri na waliwaaminisha wapigakura wao kuwa watakuwa mawaziri Kuna wafanya wakate tamaa ya kugombea hasa kutoa pesa kwaajili ya takrima za wajumbe,
Kuna Dude moja linaogelea kwenye Tope kama Kambale. Nadhani ni libunge la Malinyi; hili lazima likalime viazi huko maporini
 
Back
Top Bottom