Even if you are doing it, I didn't mean to mention anybody....Nop but he cant generalise them stupiditly that way. He must have manners, how can you call them that way? Is he perfect?!
Utakuwa hujamuelewa mtoa mada. Kwani hakuna malaya wanaojipanga barabarani? Hakuna mosque/ church goers ambao ni malaya wa kutupwa? Hajamaani kila mwanamke lazima afit kwenye category mojawapo....unaweza kuwa mwanamke lakini haupo kundi lolote kati ya hayoNop but he cant generalise them stupiditly that way. He must have manners, how can you call them that way? Is he perfect?!
Mojawapo ya namna ya kumtambua Kahaba ni
1. Mavazi yake.
Huwa ni mavazi ya 3/4 uchi
2. Namna yake ya kuangalia wanaume machoni na kujirembulisha na kujishebedua bila staha.
3. Lugha za matusi
Makahaba wengi wamejawa na uovu ikiwemo lugha za matusi.
Someni kitabu cha Mithali mtafahamu mengi kuhusu mitego ya makahaba na namna ya kuweza kuwaepuka au kujinasua iwapo mwanaume utakuwa tayari umeshaingia kwenye mitego ya kahaba
Sent using Jamii Forums mobile app