7 natural laws of business

Usijikatie tamaa kisa hutoki kwenye wealthy family dogo. You got your way too! mshamba_hachekwi
Lazima utoke katika wealthy family ili utoboe, inaweza isiwe kifedha ila ina utajiri wa vitu kama maarifa, upendo n.k
mfano u6kifanya mtoto akalelewa na mzazi mmoja halafu kukawa hakuna juhudi za ziada kufidia mapungufu jua umesababisha aanzie nyuma ya wenzake kuelekea mafanikio.

Kama baba na mama au walezi sio wazuri katika hesabu na nidhamu ya fedha mtoto nae anaiga labda itokee intervention. Mtu akioa au kuolewa na mfuja mali, nao safari inakuwa ngumu.

So mchizi acheki madhaifu ya kuambukizwa na kurithishwa afanyie kazi. Hasa hiyo law of seperation inafafanua zaidi haya.
 
Ahsante sana mkuu, umetoa elimu nzuri. Nimejifunza jambo kubwa hapa.
 
Kuna swali hajajibu na limeulizwa na wengi, hiyo damu ya mwana wa mungu inapatikanaje? wapi ni ipi?? au mafta ya mwamposa au mafta ya madhabahuni romani au ni nini???
Soma nyuma vizur kajibu
 
Subscribed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…