65% ya Bajeti itahudumia Madeni

mimi sikubaliani na bwana waziri kuhusu jambo hili. Nchemba, uliona wapi duniani watu wanatoa 65% ya bajeti kulipa madeni. mbona muna tupotosha?.
Humo ndiyo tunamopigiwa Kodi zetu!
 
Kumbykanoia, 60% ya bajeti itatoka bandari ya DP World PTA Dar.


Na DP World wakianza kuziendesha na bandari zetu zingine, lazima tuwe na ziyada (surplus) ya bajeti.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Nina uhakika Mleta mada hajaelewa, yaani nina uhakika 100% kuwa hajaelewa.
 

Hata kuhesabu hujui?
Asilimia 65 ya bajeti ya wizara ya fedha sio asilimia 65 ya bajeti ya Taifa....vilaza wenzio nao wamekuja kubwabwaja huu ukilaza wako...
trilioni 10 kulipa madeni inakuwaje iwe asilimia 65 ya bajeti wakati bajeti ni zaidi ya trilioni 35??
Yaani 10 Kwa 35 ni asilimia 65??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…