60-year-old man murdered, genitals chopped off in Riruta


Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Messages
5,632
Likes
6,241
Points
280
Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined May 25, 2011
5,632 6,241 280
Jeshi la Polisi linachunguza tukio la kuuawa kwa mzee mmoja wa miaka 60 na sehemu zake za siri kunyofolewa. Mwili wake wakutwa ukiwa umetupwa kando ya barabara ya Riruta Jijini Nairobi.

Mpaka sasa taarifa ya jeshi hilo imedai kuwa hakuna mtu aliyepatikana ambaye amehusika na tukio hilo.

Mwili wa mzee huyo umehifadhiwa kwaajili ya uchunguzi zaidi.=======
Police are investigating an incident in which a 60-year-old man was found murdered and his genitals chopped off.

His body was found abandoned by the roadside in Riruta, Nairobi on Tuesday morning. Police said they were yet to know those behind the killing and the motive. The body was moved to the mortuary as investigations continue.

The area did not experience any form of protests following IEBC's declaration of Uhuru Kenyatta as president-elect on Monday.

- The Star Kenya
 

Forum statistics

Threads 1,237,158
Members 475,462
Posts 29,279,830