kile unacho nena ndicho kilicho ndani ya fikira zako na ndicho bila shaka unatenda!
kwani kila unacho tenda huanza kufikiriwa then kunena mwisho unatenda, sasa kama ulifikiria, umenena kuona tunasemaje, mtazamo wa wengi wamekuruhusu katende! umeona? madhara ya kufikiri bila analysis leo kama mshikaji wako hakupi money unamuacha si ndio? au unamtafutia kidumu cha lita 5!