kisokolokwinyo20
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 472
- 424
- Thread starter
- #21
Nilikusoma baza, mambo yalikuwa mengi muda haukutosha kubaki JF
Mimi nipo hapo sasa hivi. DJ anapiga hiphop old school za mbele.
Ukifika temboni ulizia 5N tu sio mbali na stendi. Au fata taa kubwa linaloonekana angani hilo.