5M nahitaji gari poa

Nunua ndinga mkuu coz unaweza kulala hata kwenye gari bt nyumba huwezi kutembelea.

"Think wise"
 
mkuu ninayo Toyota Vitz ninauzwa 4.5mil .rangi ya blue
 
Mkuu nunua chuma ili tujue na tabia zako zilizojificha, usiponunua sisi tutaomba lifti kwa nani? Watuu ooooh! Jenga kwanza utadhan vile watakuja kuomba lifti kwenye nyumba
 

Utauziwa chuma kweli!!!
 
nashukuru nimepata chuma cha ukweli aina ya corolla sprinter
 
Starlet ipo 5.3m namba BTC Ni nzuri, ya mwaka 1998, cc1330
 
asanteni nimepata carina leo kwa 8m...nimeamini 5m huwez pata gari zurihapa tz
 
asanteni nimepata carina leo kwa 8m...nimeamini 5m huwez pata gari zurihapa tz
Labda umvue mtu, si unajua kimfaacho mtu chake bhana. Mimi niliwahi kuuziwa Rav4 kwa milioni tano miaka miwili iliyopita na jamaa alikuwa na shida ya ghafla na mpaka leo chuma kipo barabarani hakijawahi sumbua...
 
Nunua ndinga mkuu coz unaweza kulala hata kwenye gari bt nyumba huwezi kutembelea.

"Think wise"
Pengine ameshajenga tayari, usihukumu kabla ya kumfahamu mtu. Hata mimi nilianza na gari na baada ya mwaka mmoja nikahamia kwangu, inategemea na uchumi wa mtu pamoja na malengo ya mnunuaji.

Wapo wanaonunua gari ili wafanyie biashara iingize kipato zaidi
 
Opa ya 2001, mileage 91919
 

Attachments

  • 1400495811497.jpg
    59.8 KB · Views: 211
  • 1400495857729.jpg
    55.8 KB · Views: 201
  • 1400495923251.jpg
    63.6 KB · Views: 177

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…