Danny Massawe
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,299
- 765
Unanunua gar umeshajenga?
Ni pm, ninayo premio plate namba BZS..
victor wa happy, unafikiri kuanza kununua ndinga kabla ya nyumba ni kosa? ninapokaa na shughuli zangu pamoja na familia natumia usafiri 15 elf daily iyo inatosha kuweka mafuta ya gari na nakuwa comfortable zaid ya kukodi pkpk, pia 5m siwez jenga mjenjo
Mkuu ajenge sisi tuwapangishe kina nani sasa? wewe nunua tuu gari mkuu achana na mambo ya kujenga tuachie sisi na NHC ....ili mje mpange tusomeshe mkuu
Hahahahah. Hii kali muzee.
Wakija kupanga kwetu, hela tunanunulia magari.
Mkoko kwanza wewe.. hata ndege wanajenga